Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Ni ujinga kumtetea mtu anayekula madawa kwa kupenda eti atoe sababu ambazo hazina mashiko? Kwa kweli sikuungi mkono kwa hapo.
Ulichokisema ni kweli kuwa sehemu hiyo hiyo moja ya ubongo ndo inayo affectiwa na addiction zote (inaijulikana kama prefrontal cortex ) ila nikuulize ulishawahi ona wapi mtu aliye kuwa addicted na sex,water,food etc amepata risk ya ku fail vital organs? Au amekufa kwa ajili ya hiyo addiction yake
Kikubwa? hao wanaotumia madawa ya kulevya yanapelekea ku affect viungo vyao ambavyo ni vital mfano ubongo hii inapelekea kushusha activity ya viungo vyote muhimu kama moyo,ini,kongosho,figo so kifo ni wazi wazi ila hizo addiction nyengine zinaweza kuwa treated na zikaisha bila side effect yoyote .
haya mkuu,inaonyesha unataka kusema hizo addiction zingine ziko less destructive na hivyo mtu kuchagua kutumia madawa ni maamuzi ya kijinga sababu madawa yako more destructive..
.sio kweli kuwa hizo addiction zingine ziko less destructive ,mfano Water inaweza kukuletea majanga kama utakunywa maji mengi in short time(water intoxication), food nayo kwa wingi nayo inaweza kuleta heart attack..etc
SAD,addiction is a process,one become addict not overnight but for a period/time,ndio maana hatujui mtu kwa mfano kama mwanamuziki Darasa anatumia madawa mpaka tumuone aki behave strangely in which case its too late sababu inakua atakua tayari ameshayatumia kwa muda….
halafu usiseme 'kapenda'...you have never been in his shoes and understand his daily struggle..
hizo unazoziita sababu zisizo na mashiko,ndizo hizo hizo zinazokuwa overlooked na mtu hapati msaada….mie nimefikiria kuwa msaada wa kitabibu inawezekana ni vigumu,ila tunaweza kwa pamoja kuishauri familia yake..
binafsi,sio mtaalam wa mambo haya,ila nafikiri,KUONDOA vitu vyote ambavyo vina act as reinforcers for him to seek self stimulation itakuwa first step...