Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Madawa ya kulevya ni hot topic katika miaka hii. Hasa kwa kundi la vijana, serikali itusaidie idara nyeti kama ile ya usalama wa taifa inahitajika kukabiliana na hili janga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Now, you sister... You know addiction.Jamani very sad,
basi kuna watakaomlaumu humu...
ukweli addiction sio kwenye madawa tu, addiction iko kila mahali..kuna watu wako addicted na food,water,sleep,sex
etc{Reinforcers}
hata kuingiaga JF pia ni addiction,
sehemu kwenye ubongo ambayo watu wanaotumia madawa imewahi kuonyeshwa kuwa ni the same area, addiction nyinginezo kama food and water zinapokuwa reactivated...sijalifanyia uchunguzi lol....
sad,ila nachoshauri mumchunguze nini kilichompelekea kuanza kutumia madawa???kumfungia peke yake haitoshi,akitoka tu ujue ana relapse...
siku akiwa sober huko huko ndani mlipomfungia muulizeni nini matarajio yake,hofu yake ni nini...kama familia muonyeshe kumsapoti ,maana dunia kaiona haimsapoti hivyo kajaribu kuiblock kwa kutumia madawa ya kulevya...
Jamaa gani mkuu hebuWale jamaa ukiambatana nao sana,mwisho wa siku huwa hivi.Kuna haja ya kuwafuatilia vizuri mienendo yao.Kuna madogo wawili mwaka jana walikuwa karibu saana na kikundi hicho.Tunasubiri muda utatupa jibu zuri.Pole sana DARASSA ndiyo Maisha japo kila siku tunakumbushana wakuambatana nao
Mkuu hebu wafungue hao watuNyuma ya darasa kuna watu...
Wanaotaka kumpoteza kimziki baada ya kuwa tishio kwa tasnia ya bongofleva
Darasa hadi kuanza mtumizi ya madawa, waliokuwa wanaona siku za mbeleni atakuwa tishio, aliundiwa kundi lisilo pungua watu wa 4, ambao watakuwa marafiki zake na kumpa support kwenye musiki na kwenye maisha ya kawaida
Baada ya hao watu watu wa 4 kupenyezwa bila Darasa kujua malengo yao ni kitu gani aliwaamini kama marafiki zake kumbe lengo lao ni kumpoteza kwenye ulingo wa mziki bila kuacha ushahidi kuwa wao walihusika..
Njia walio tumia ni kumtilia madawa ya kulevya kwenye kinywaji kila alipo enda kwenye iwe kwenye
-Show
-Club
Wapo nae nyuma, na darasa maskini wa Mungu hakujua kama hao marafiki zake walikuwa na lengo gani kwake...
Njia iliyo tumika watabaki wanamlaumu darasa bila kujua ukweli
Mzee tafadhar naomba weka nyama kwenye hili bandiko lakoKile kipindi alipopotezwa walimuazishia doze.. Sio kosa lake.. Si kila teja aliungua kwenye madawa kwa hiari.. Wengine wana story za kutishana nyuma yao...
Usalama wa taifa wako busy kuwaBen Saaanane wakosoaji wa serikali ya CCM.Madawa ya kulevya ni hot topic katika miaka hii. Hasa kwa kundi la vijana, serikali itusaidie idara nyeti kama ile ya usalama wa taifa inahitajika kukabiliana na hili janga
Jamani very sad,
basi kuna watakaomlaumu humu...
ukweli addiction sio kwenye madawa tu, addiction iko kila mahali..kuna watu wako addicted na food,water,sleep,sex
etc{Reinforcers}
hata kuingiaga JF pia ni addiction,
sehemu kwenye ubongo ambayo watu wanaotumia madawa imewahi kuonyeshwa kuwa ni the same area, addiction nyinginezo kama food and water zinapokuwa reactivated...sijalifanyia uchunguzi lol....
sad,ila nachoshauri mumchunguze nini kilichompelekea kuanza kutumia madawa???kumfungia peke yake haitoshi,akitoka tu ujue ana relapse...
siku akiwa sober huko huko ndani mlipomfungia muulizeni nini matarajio yake,hofu yake ni nini...kama familia muonyeshe kumsapoti ,maana dunia kaiona haimsapoti hivyo kajaribu kuiblock kwa kutumia madawa ya kulevya...
Mkuu ile ngoma ni true street story!!Na ile ngoma ilikuwa ni kali kuliko hata huu upupu wa maisha na muziki uliompa umaarufu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo addiction ya sex hebu ipambanue kidogo tusije jikuta na sisi tumeathirika.mfano wengine hawawezi kulala bila kusex...hapo vpJamani very sad,
basi kuna watakaomlaumu humu...
ukweli addiction sio kwenye madawa tu, addiction iko kila mahali..kuna watu wako addicted na food,water,sleep,sex
etc{Reinforcers}
hata kuingiaga JF pia ni addiction,
sehemu kwenye ubongo ambayo watu wanaotumia madawa imewahi kuonyeshwa kuwa ni the same area, addiction nyinginezo kama food and water zinapokuwa reactivated...sijalifanyia uchunguzi lol....
sad,ila nachoshauri mumchunguze nini kilichompelekea kuanza kutumia madawa???kumfungia peke yake haitoshi,akitoka tu ujue ana relapse...
siku akiwa sober huko huko ndani mlipomfungia muulizeni nini matarajio yake,hofu yake ni nini...kama familia muonyeshe kumsapoti ,maana dunia kaiona haimsapoti hivyo kajaribu kuiblock kwa kutumia madawa ya kulevya...
Sawa mkuu, ila mimi naona ilipewa sana kiki. Hata too much naipenda kuliko ile kaka.