Tetesi: Darasa kafungiwa na ndugu zake

Tetesi: Darasa kafungiwa na ndugu zake

Madawa ya kulevya ni hot topic katika miaka hii. Hasa kwa kundi la vijana, serikali itusaidie idara nyeti kama ile ya usalama wa taifa inahitajika kukabiliana na hili janga
 
Jamani very sad,

basi kuna watakaomlaumu humu...

ukweli addiction sio kwenye madawa tu, addiction iko kila mahali..kuna watu wako addicted na food,water,sleep,sex
etc{Reinforcers}

hata kuingiaga JF pia ni addiction,

sehemu kwenye ubongo ambayo watu wanaotumia madawa imewahi kuonyeshwa kuwa ni the same area, addiction nyinginezo kama food and water zinapokuwa reactivated...sijalifanyia uchunguzi lol....

sad,ila nachoshauri mumchunguze nini kilichompelekea kuanza kutumia madawa???kumfungia peke yake haitoshi,akitoka tu ujue ana relapse...

siku akiwa sober huko huko ndani mlipomfungia muulizeni nini matarajio yake,hofu yake ni nini...kama familia muonyeshe kumsapoti ,maana dunia kaiona haimsapoti hivyo kajaribu kuiblock kwa kutumia madawa ya kulevya...
Now, you sister... You know addiction.
Afadhali, for once, mtu anaye elewa.

Naongezea tu:
Sababu pekee ya hivyo vingine havionekani vina madhara ni kwa sababu tu havipo restricted.

Its very tricky to save someone who's already there. Its 'close' to impossible.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaza ni namna gani mtu hushawishiwa hadi aingie kwenye matumizi ya Unga nakosa jibu.

Darasa walisema kitambo sana kuhusu matumizi ya unga na sasa imekuwa.
 
Wale jamaa ukiambatana nao sana,mwisho wa siku huwa hivi.Kuna haja ya kuwafuatilia vizuri mienendo yao.Kuna madogo wawili mwaka jana walikuwa karibu saana na kikundi hicho.Tunasubiri muda utatupa jibu zuri.Pole sana DARASSA ndiyo Maisha japo kila siku tunakumbushana wakuambatana nao
Jamaa gani mkuu hebu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyuma ya darasa kuna watu...

Wanaotaka kumpoteza kimziki baada ya kuwa tishio kwa tasnia ya bongofleva

Darasa hadi kuanza mtumizi ya madawa, waliokuwa wanaona siku za mbeleni atakuwa tishio, aliundiwa kundi lisilo pungua watu wa 4, ambao watakuwa marafiki zake na kumpa support kwenye musiki na kwenye maisha ya kawaida

Baada ya hao watu watu wa 4 kupenyezwa bila Darasa kujua malengo yao ni kitu gani aliwaamini kama marafiki zake kumbe lengo lao ni kumpoteza kwenye ulingo wa mziki bila kuacha ushahidi kuwa wao walihusika..

Njia walio tumia ni kumtilia madawa ya kulevya kwenye kinywaji kila alipo enda kwenye iwe kwenye
-Show
-Club
Wapo nae nyuma, na darasa maskini wa Mungu hakujua kama hao marafiki zake walikuwa na lengo gani kwake...

Njia iliyo tumika watabaki wanamlaumu darasa bila kujua ukweli
Mkuu hebu wafungue hao watu
Tuwaingize kwenye maombi leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
true
Jamani very sad,

basi kuna watakaomlaumu humu...

ukweli addiction sio kwenye madawa tu, addiction iko kila mahali..kuna watu wako addicted na food,water,sleep,sex
etc{Reinforcers}

hata kuingiaga JF pia ni addiction,

sehemu kwenye ubongo ambayo watu wanaotumia madawa imewahi kuonyeshwa kuwa ni the same area, addiction nyinginezo kama food and water zinapokuwa reactivated...sijalifanyia uchunguzi lol....

sad,ila nachoshauri mumchunguze nini kilichompelekea kuanza kutumia madawa???kumfungia peke yake haitoshi,akitoka tu ujue ana relapse...

siku akiwa sober huko huko ndani mlipomfungia muulizeni nini matarajio yake,hofu yake ni nini...kama familia muonyeshe kumsapoti ,maana dunia kaiona haimsapoti hivyo kajaribu kuiblock kwa kutumia madawa ya kulevya...
 
Kama chidi benzi na limwili lote lile kabaki kichwa tu sasa uyu Mzee baba sijui itakuwaje...eeeh mnyazi Mungu tunusuru Vijana wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi
Jamani very sad,

basi kuna watakaomlaumu humu...

ukweli addiction sio kwenye madawa tu, addiction iko kila mahali..kuna watu wako addicted na food,water,sleep,sex
etc{Reinforcers}

hata kuingiaga JF pia ni addiction,

sehemu kwenye ubongo ambayo watu wanaotumia madawa imewahi kuonyeshwa kuwa ni the same area, addiction nyinginezo kama food and water zinapokuwa reactivated...sijalifanyia uchunguzi lol....

sad,ila nachoshauri mumchunguze nini kilichompelekea kuanza kutumia madawa???kumfungia peke yake haitoshi,akitoka tu ujue ana relapse...

siku akiwa sober huko huko ndani mlipomfungia muulizeni nini matarajio yake,hofu yake ni nini...kama familia muonyeshe kumsapoti ,maana dunia kaiona haimsapoti hivyo kajaribu kuiblock kwa kutumia madawa ya kulevya...
Hiyo addiction ya sex hebu ipambanue kidogo tusije jikuta na sisi tumeathirika.mfano wengine hawawezi kulala bila kusex...hapo vp
 
Back
Top Bottom