Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa kiduchu kivipi na zilikuja lawama kuwa mashabiki wanamuhitaji haonekani.Alipotoa wimbo mkubwa huku akipata pesa kiduchu
Pesa kiduchu kivipi na zilikuja lawama kuwa mashabiki wanamuhitaji haonekani.
Wakati wa hit song ya 'cheza muziki' alikuwa na uwezo wa kujaza uwanja kwenye Mkoa wowote ambao angeenda.
Sijui alikuwa na shida gani.Basi alilewa sifa akasahau kuna kesho
Hahahaaaa Mkuuu huo udaga.... hatare. Huo msamiati Udaga upo pande za Lake zone hahahaaaadaaaa udaga utawamaliza vijana
Hahaaaaa Mkuuu sio Mbute kabisaaBora watumie mchembe,fulu na minumbu!
Hao uliowataja ni hopeless wapo kichama zaidiUsalama wa taifa wako busy kuwaBen Saaanane wakosoaji wa serikali ya CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alizimaa ghaflaa akati bado Muzikii ilikuwaa kwenyee pikiii kabisaaaSijui alikuwa na shida gani.
Ila zilikuja nyuzi nyingi tu humu jukwaani na kulalamikiwa kuwa pesa zipo kibao ila yeye haonekani kujituma akazichume.
Mpaka hata Kenya kule walilalamika nyimbo yake ni hit lakini hawajui kwa kumpata.
DopamineJamani very sad,
basi kuna watakaomlaumu humu...
ukweli addiction sio kwenye madawa tu, addiction iko kila mahali..kuna watu wako addicted na food,water,sleep,sex
etc{Reinforcers}
hata kuingiaga JF pia ni addiction,
sehemu kwenye ubongo ambayo watu wanaotumia madawa imewahi kuonyeshwa kuwa ni the same area, addiction nyinginezo kama food and water zinapokuwa reactivated...sijalifanyia uchunguzi lol....
sad,ila nachoshauri mumchunguze nini kilichompelekea kuanza kutumia madawa???kumfungia peke yake haitoshi,akitoka tu ujue ana relapse...
siku akiwa sober huko huko ndani mlipomfungia muulizeni nini matarajio yake,hofu yake ni nini...kama familia muonyeshe kumsapoti ,maana dunia kaiona haimsapoti hivyo kajaribu kuiblock kwa kutumia madawa ya kulevya...
Am addicted to youfools people into seeing the drug is more valuable than it is..lol..and motivates people to seek rewards...
Mdada uko na akili sana.haya mkuu,inaonyesha unataka kusema hizo addiction zingine ziko less destructive na hivyo mtu kuchagua kutumia madawa ni maamuzi ya kijinga sababu madawa yako more destructive..
.sio kweli kuwa hizo addiction zingine ziko less destructive ,mfano Water inaweza kukuletea majanga kama utakunywa maji mengi in short time(water intoxication), food nayo kwa wingi nayo inaweza kuleta heart attack..etc
SAD,addiction is a process,one become addict not overnight but for a period/time,ndio maana hatujui mtu kwa mfano kama mwanamuziki Darasa anatumia madawa mpaka tumuone aki behave strangely in which case its too late sababu inakua atakua tayari ameshayatumia kwa muda….
halafu usiseme 'kapenda'...you have never been in his shoes and understand his daily struggle..
hizo unazoziita sababu zisizo na mashiko,ndizo hizo hizo zinazokuwa overlooked na mtu hapati msaada….mie nimefikiria kuwa msaada wa kitabibu inawezekana ni vigumu,ila tunaweza kwa pamoja kuishauri familia yake..
binafsi,sio mtaalam wa mambo haya,ila nafikiri,KUONDOA vitu vyote ambavyo vina act as reinforcers for him to seek self stimulation itakuwa first step...
taja aliye fanyikiwa bada ya unga??Bongo ni nchi rahisi sana kwa msanii aliyepotea kurudi kwenye chat kuliko sehemu nyingine yoyote ulimwenguni.....Tanzania imejaaliwa mashabiki wenye moyo wa kukushusha na kukupandisha pale wanapotaka pia Media (mf.Clouds) na wadau mbalimbali..so Darassa akijipanga, atarudi vizuri tu coz watu wamemmiss pia.
Manjis gastaja aliye fanyikiwa bada ya unga??
Miss you Ma'mkwe