Jamani very sad,
basi kuna watakaomlaumu humu...
ukweli addiction sio kwenye madawa tu, addiction iko kila mahali..kuna watu wako addicted na food,water,sleep,sex
etc{Reinforcers}
hata kuingiaga JF pia ni addiction,
sehemu kwenye ubongo ambayo watu wanaotumia madawa imewahi kuonyeshwa kuwa ni the same area, addiction nyinginezo kama food and water zinapokuwa reactivated...sijalifanyia uchunguzi lol....
sad,ila nachoshauri mumchunguze nini kilichompelekea kuanza kutumia madawa???kumfungia peke yake haitoshi,akitoka tu ujue ana relapse...
siku akiwa sober huko huko ndani mlipomfungia muulizeni nini matarajio yake,hofu yake ni nini...kama familia muonyeshe kumsapoti ,maana dunia kaiona haimsapoti hivyo kajaribu kuiblock kwa kutumia madawa ya kulevya...