Tetesi: Darasa kafungiwa na ndugu zake

"never em know your next move....."

"... never get high on your own supply.."

".. Keep your family and business completely separated
Money and blood don't mix like 2 d!cks and no b!tch.."



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli lisemwalo lipo jamani kama ni kweli habari zake za unga zilisambaa mda darasa Mungu akufanyie wepesi utoke kwenye hilo janga
 
Kama ni kweli basi Mimi nitamshangaa maana sidhani kama alikuwa na stress za muziki, maana ndio kipindi alikuwa juu sana, labda kama alikuwa na stress zingine. Inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuacha madawa ni uamuzi binafsi


*MRC Tanzania*

Je! Una tatizo la utumiaji wa pombe au mihadarati

Je! mtoto au mwenza wako ana tatizo la ulevi na utumiaji wa mihadarati

Kwa huduma ya usaidizi wa kuachana na utumiaji wa pombe na dawa nyingine za kulevya unaweza kujaza form ya maombi kupitia link hapa chini

*KIGAMBONI SOBER HOUSE* Tuko kwa ajili ya kukusaidia wewe, Mwenza wako, Mtoto au ndugu yako

Piga simu *+255 742 550 551*

au *+255 655 056 382*
*Bofya hapa*👇🏽

KIGAMBONI SOBER HOUSE
 
*MRC Tanzania*

Je! Una tatizo la utumiaji wa pombe au mihadarati

Je! mtoto au mwenza wako ana tatizo la ulevi na utumiaji wa mihadarati

Kwa huduma ya usaidizi wa kuachana na utumiaji wa pombe na dawa nyingine za kulevya unaweza kujaza form ya maombi kupitia link hapa chini

*KIGAMBONI SOBER HOUSE* Tuko kwa ajili ya kukusaidia wewe, Mwenza wako, Mtoto au ndugu yako

Piga simu *+255 742 550 551*

au *+255 655 056 382*
*Bofya hapa*👇🏽

KIGAMBONI SOBER HOUSE
 
addiction that lead you to your own death unasema asipate lawama..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata ukimlaumu itasaidia nini?there's a better way to help him,blaming him is not one of them1

Wamsaidie kwamba alikuwa hajui madhara ya unga?

Huyu jamaa si kazaliwa hapa Tz anasikia akina ray c, chid benz, ranga, 20%, ngwair na wengine kibao wanahangaika na unga yeye akaamua aende kuthibitisha kama kweli wanapata tabu!

Mwache avune alichopanda!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

mbona beer mnakunywa japokua ina adverse health effects...??

mbona sigara watu wanavuta japo ina madhara?

madawa ya kulevya sio ya Tanzania tu,bali ulimwenguni.kote

hata nchi nyingine,wamejua kuzuia addiction isn't an easy task

hivyo wanajenga vituo vya watu kupata msaada

NA SIO kuwaacha addicts waendelee na kutumia dawa,

hawa addicts ni ndugu zetu,kaka mjomba baba,dada

utamuacha ndugu yako a perish???

wakati kuna uwezekano wa kumrudisha akawa mzima tena?!
 

Me nahisi una wazo zuri la kusaidia jamii lakini unakosea jinsi ya kuli-address ili jamii ipone!

Utumike utaratibu wa kutoa elimu katika ngazi zote hasa kwa vyombo vya habari na mijadala mikubwa juu ya athari za unga!

Pili njia nyingine ya kuisaidia jamii sio lazima uipe sukari sometime jamii ipewe shubiri ili wajifunze kutokana na huo uchungu wanaopata, binafsi wasisaidiwe waachwe liwe funzo kwa wengine.

Mimi, wewe na huyo addict tutakufa so haina haja ya kupoteza pesa wakati mwenzetu kachagua kifo cha aina hiyo, mwache atangulie nasi tutafata kwa namna nyingine!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 


Inasikitisha sana.
 

usidhanie addicts wako kwenye addiction,sababu tu wanaona madawa yanawapa raha,

wengine ni njia ya KUBLOCK PAIN,

sasa utamuacha ndugu yako afe na uchungu wake??

yaani hizo pesa zimekuwa na thamani sawa na uhai wa mtu???

nimependa suggestion ya utaratibu wa elimu
 
Am addicted to you...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…