DR.RWEYENDERA
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 403
- 386
Hakuna nisichojua kuhusu rap.Kwanza jua tafsili ya neno rap kisha uje useme tena darasa ndo rap na rap ni darasa.....
Yeah kwa miaka kama mitatu sasa Nay ndio amekuwa nyota ya mchezo wa rap bongo.. Na sasa ni Darasa.... Hutaki unaacha!Yani Nay amewahi kumiliki game ya rap Bongo??....Rest in peace rap game..
Rap ni rap tu ata iimbwe kwa mtindo upi.. Ata trap japo inapondwa ndio inayouza duniani kwa sasa.. Karibu mjini!Nyie mnaongelea rap inayoimbwa kwa mtindo wa kubana pua au?
Joh Makini muziki wake ulishaisha kitambo sana kwa sasa anafosi king tu na kutembelea nyota ya Weusi.. Joh wa chochote popote sio joh wa perfect combo.Uwezi kumlinganisha darasa na Joh Makini.
Joh Makini muziki wake ulishaisha kitambo sana kwa sasa anafosi king tu na kutembelea nyota ya Weusi.. Joh wa chochote popote sio joh wa perfect combo.
Kapokea kijiti cha Muungano Cultural TroupeJoh Makini?
OK hata Bileku Djuna Mumbafu Mpasi alikuwa ana rap.....Hakuna nisichojua kuhusu rap.
Baba lao fid q wengne hao ndo wanafuata!Darasa ni shidaa, Joh makin mshindi wa pili
Joh anaimba nini ww Mwl wao fareed qubanda kwa anaeielewa hip hop!Bila Joh naona hamuwez kujadili mziki wa hip hop" Rap
Darasa hana mda mrefu kweny game are u serious?Darasa n msanii anaekuja kwa kas (hana mda mrefu kwenye gem).. lakn kumfansha na joh makn n kumkosea heshma mwamba wa kaskazn
Darasa alinganishwe na Mchizi mox.Uwezi kumlinganisha darasa na Joh Makini.
Darasa alinganishwe na Mchizi mox.
Zarau hyo!Darasa alinganishwe na Mchizi mox.
Kipi kinaingiza mkwanja mrefu kati ya anachokifanya fid q na anachokifanya johmakini?Joh anaimba nini ww Mwl wao fareed qubanda kwa anaeielewa hip hop!
Tatizo la watoto wa chuga wabaguzi sana ata kwenye game mnaleta maukabila yenu ilimradi tu joh katoka arusha ila joh kashamaliza game yake kitambo sana.Hauwezi kumfananisha Joh na Darasa,unaukosea heshima mziki wa Bongo. Kama ni mahaba kwa darasa nenda ukampikie umeonyeshe mahaba
Fid q atachukua nafas ya tatu,Baba lao fid q wengne hao ndo wanafuata!