Darasa kapokea kijiti cha Nay wa Mitego

Darasa kapokea kijiti cha Nay wa Mitego

Yani Nay amewahi kumiliki game ya rap Bongo??....Rest in peace rap game..
Yeah kwa miaka kama mitatu sasa Nay ndio amekuwa nyota ya mchezo wa rap bongo.. Na sasa ni Darasa.... Hutaki unaacha!
 
Hauwezi kumfananisha Joh na Darasa,unaukosea heshima mziki wa Bongo. Kama ni mahaba kwa darasa nenda ukampikie umeonyeshe mahaba
Tatizo la watoto wa chuga wabaguzi sana ata kwenye game mnaleta maukabila yenu ilimradi tu joh katoka arusha ila joh kashamaliza game yake kitambo sana.
 
Acha kumfananisha Darasa na vitu vya kijinga
 
Back
Top Bottom