Darasa kapokea kijiti cha Nay wa Mitego

Darasa kapokea kijiti cha Nay wa Mitego

FB_IMG_1468403561720.jpg
Remember that ....
 
darasa mkali wa hiphop kwa sasa
kama ni tuzo
apewe...
ipigwe nusu nusu vs kama utanipenda
au dont bother kwa too much...

darasa katisha kinoma noma [emoji122][emoji122]

Hivi hiphop unaijua wewe? Stereo nae utasema anafanya nini?
 
joh amekuepo kabla ya weusi na joh atendelea kuwepo coz flow zake kila siku anabadilika aliyemsikiliza joh wa hawapendi kuniona kwenye tv na aliyemsikiliza joh chochote popote sio joh wa karibu tena kwenye show za joh kila siku anabadilika asiyempenda joh anawakati mgumu sana sikiliza ngoma aliyofanya na fundi samweli nikumbatie Joh ataendelea kuwaburuza

Hawawezi kukuelewa kumfananisha joh na Darasa ni kumvunjia heshima john
 
Back
Top Bottom