OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rap is what we do and hip hop is what we live.View attachment 378365 Remember that ....
Maneno mazuri toka kwa KRS One.Rap is what we do and hip hop is what we live.
Mkuu jide alikuwa zamani sasa hiv kuna wakali kama kina Maua sama !Kijiti cha Jide bado hakijapokelewa na demu yoyote hadi sasa na acheni kumlinganisha Jide na vitu vya kijinga
Mkuu jide alikuwa zamani sasa hiv kuna wakali kama kina Maua sama !
Hao wote ,kiboko yao ni bibi cheka.Kwa upande wang ma rapper bora hapa Tz ni;
1:Young killer msodoki
2:Blue bayser
3:Young D na
4:Chid benzi A.K.A Chuma
Yan hawa jamaa style yao ya kurap ni tamu balaa..
haa aah aaa.....aya bhanaHao wote ,kiboko yao ni bibi cheka.
Watakimbizwa mpaka watalia.haa aah aaa.....aya bhana
Ila sio kama pilipiliDarasa anafanya vizuri sana kwa kiwango chake vilevile Joh nae anafanya vizuri kwa kiasi chake wote ni wakali.
Darasa alinganishwe na Mchizi mox.
Uko kama Mimi ninavyofikiriajoh kwa darasa
endapo darasa atakaza
joh atabaki story
darasa mkali baba[emoji122]
Ebu rudia maneno yako wewe kijana wa chuga.
darasa mkali wa hiphop kwa sasa
kama ni tuzo
apewe...
ipigwe nusu nusu vs kama utanipenda
au dont bother kwa too much...
darasa katisha kinoma noma [emoji122][emoji122]
Bila Joh naona hamuwez kujadili mziki wa hip hop" Rap
joh amekuepo kabla ya weusi na joh atendelea kuwepo coz flow zake kila siku anabadilika aliyemsikiliza joh wa hawapendi kuniona kwenye tv na aliyemsikiliza joh chochote popote sio joh wa karibu tena kwenye show za joh kila siku anabadilika asiyempenda joh anawakati mgumu sana sikiliza ngoma aliyofanya na fundi samweli nikumbatie Joh ataendelea kuwaburuza