Darasa kapokea kijiti cha Nay wa Mitego

Darasa kapokea kijiti cha Nay wa Mitego

Darasa n msanii anaekuja kwa kas (hana mda mrefu kwenye gem).. lakn kumfansha na joh makn n kumkosea heshma mwamba wa kaskazn
Haaaaa lini ameingia kweny gem we jamaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Rap ni rap tu ata iimbwe kwa mtindo upi.. Ata trap japo inapondwa ndio inayouza duniani kwa sasa.. Karibu mjini!
Kumbe unazani sifa ya hip hop ni mauzo? Yaani unaipima hip hop kwa kigezo cha mauzo asee, u can't be serious...u have a lot to learn about hip hop son!! [emoji119] [emoji119]
 
Kwa upande wang ma rapper bora hapa Tz ni;

1:Young killer msodoki
2:Blue bayser
3:Young D na
4:Chid benzi A.K.A Chuma
Yan hawa jamaa style yao ya kurap ni tamu balaa..
 
Ni kawaida ya wasanii kupokezana vijiti yani kutesa kwa zamu.

Kama ilivyokuwa game ya video ilikuwa ya Adam Juma na sasa kamuachia Hanscana... Marco Chali kamwachia Nah real kwenye audio production... Jide kamwachia Vanessa Mdee kwenye rnb....Majuto alivyomwachia Joti kwenye comedy... Chidi Beenz alivyomwachia Nay kwenye game ya rap.... Ndio hivyo na sasa Nay wa Mitego kamwachia kijiti msela kutoka Kiwalani wakuitwa Darasa.


Kwa sasa game ya rap ni ya Darasa... Darasa ndio game ya rap ndani ya Bongo.
acha kumfananisha joh na vitu vya kijinga
 
naomba nifundishwe jinsi ya kuweka uzi or thread jf please
ingia hapo chini unavoanza kushuka pameandikwa post new thread
ingia af utakuta thread title andika kichw cha habar yako utayoandika chini ya box la thread title af ckick chini pale creat thread
 
Joh hajatrend kiivyo sema anatembelea chata ya Weusi.
joh amekuepo kabla ya weusi na joh atendelea kuwepo coz flow zake kila siku anabadilika aliyemsikiliza joh wa hawapendi kuniona kwenye tv na aliyemsikiliza joh chochote popote sio joh wa karibu tena kwenye show za joh kila siku anabadilika asiyempenda joh anawakati mgumu sana sikiliza ngoma aliyofanya na fundi samweli nikumbatie Joh ataendelea kuwaburuza
 
Kijiti cha Jide bado hakijapokelewa na demu yoyote hadi sasa na acheni kumlinganisha Jide na vitu vya kijinga
 
Kipi kinaingiza mkwanja mrefu kati ya anachokifanya fid q na anachokifanya johmakini?
Ukipata jibu hapo ndiyo utakua umemjua mkali ni nani.

Kama suala la mkwanja kuwa wewe ndio mkali naomba na Shilole aongezwe kwenye list.
 
Nyie wote hamjui mnachokiongelea, huwezi fananisha rap na hiphop ata siku moja. Hao wasanii kama darasa, joh makin, bilnas na wengineo ni marapa tu ..ila hiphop inafanywa na wasanii kama Nash mc, Nikk mbishi, chindo na fid q kwa mbàaali... na kuna artist wengi sana wakali wanafanya hiphop tofauti na rap ...NB real hiphop is not on the media
IMG-20160423-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom