Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Hahaha ndo wanavyokuwa hivyoAfu jamaa alikuwa comfortable sana yan,,,anyway
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha ndo wanavyokuwa hivyoAfu jamaa alikuwa comfortable sana yan,,,anyway
Ht ukiwa babu unapiga jeans na simple...haijaandikwa "nguo za vijana"Hapa ni dogidogi shati, dickies trouser, kiatu all star. Wacha niendelee kuitwa muhuni ntabadili nikiwa babu.
Mkuu hizi ni nguo za viwandani! Nakumbuka wakati napiga box maovaroli yetu yalikuwa Dickies...Hapa ni dogidogi shati, dickies trouser, kiatu all star. Wacha niendelee kuitwa muhuni ntabadili nikiwa babu.
Nimeiona hiyo twende kwenye pool tableSiandiki thread...hiyo ni photo tu
hio tunaitaga wali muwaShati bluu
Suruali njano
Sox kijani
Mkanda mweusi
Tai zambarau
Lazima ucheke
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mdogo mdogo tuNikitoa thread isipofikisha 1k viewers nakauka kwa muda coz naona ni kazi bure.....
TunakisubiriKesho naleta kitu kipya
mi nachojua ni suruali mnyonyo......
chini kiatu traolta......
juu shati la dogidogi.....nimemaliza popote naenda hata kanisani...