Darasa la kupigilia pamba kijanja

Darasa la kupigilia pamba kijanja

Hakuna formula kwenye mavazi, mtu maarufu eg Neimer akitupia suti na ndala, hata we unayejiita Bitoz utaiga tu. Ila akiwa kajamba nani utamwona mshamba.
Hizo mentali ni ka vile mbogo anavyotupia akiwa kwenye ndege wakati wazungu huvaa simple tu.
Pia angalia vichezaji vyetu vya mpira navyo vinavyovaa mahedi phone, ka sio kuiga ni nini?!
 
Uwe unapitia post vzr..hatujasema ni formula ya kumpangia MTU avaaje
Nguo kazi zake ni kuficha uchi + kumpendezesha mtu.....

Kwahiyo km ni kwa lengo la kuficha uchi tungekua tunavaa hadi mataulo kwenye sherehe !!!
 
Kasema kwa vijana..Au wewe ni bibi kijana unafukuzana fashion za vijana
Wapi nimeandika
Ht ukiwa babu unapiga jeans na simple...haijaandikwa "nguo za vijana"
Cwez kuvaa kaniki
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Uwe unapitia post vzr..hatujasema ni formula ya kumpangia MTU avaaje
Nguo kazi zake ni kuficha uchi + kumpendezesha mtu.....

Kwahiyo km ni kwa lengo la kuficha uchi tungekua tunavaa hadi mataulo kwenye sherehe !!!

Akivaa Berkam ilo taulo hutamuiga wewe!? hutaona ni fasheni?!
 
Aisee kwahio ukishakuwa na mke suala la kuvaa vizuri halikuhus??!! Kwahio hawa vijana na watu wazima wanaovaa vizuri hawana mke wala watoto??!!! AMAZING........................

tafuta kama utakuta wanapanga kijani wanavaa imradi wamependeza na hawaumizi kichwa kwenye kuvaa
 
Back
Top Bottom