Darasa la kupigilia pamba kijanja

Darasa la kupigilia pamba kijanja

Kila MTU ana falsafa yake ya uvaaji! Usitake falsafa yako iwe ndo ya watu wote!
Nani kakwambia nataka falsafa yangu ndio ifuatwe,we unajua mi navaaje?
Hebu rudia kusoma uelewe ndio ujibu,sio unakurupuka na kuvamia kueleza kitu ambacho haujakielewa,kama una stress za kukosa pesa za sikukuu useme usaidiwe,maana umekuwa mkali bila hata sababu,kweli hali imekuwa ngumu sana.
 
Unamlaumu MTU alivyokuwa amevaa kwa nini? Angekuwa kavaa nusu uchi sawa! MTU kavaa three piece yake yenye rangi anayoipenda yeye, wewe inakutakia mini? Kwani alikuwa anavaa kwa ajili yako?
 
Kama kuoa kunaondoa utanashati kwa mwanaume, ni bora kuwa bachela tu. Mimi nina mke na mtoto wa miaka 13, niko kwenye ndoa for 15yrs lakini napambika balaa, nikimtokea demu baada ya kugonga anauliza utanioa akifikiri mimi under 40, kumbe mie baba ake.

si unaona sasa
 
Unamlaumu MTU alivyokuwa amevaa kwa nini? Angekuwa kavaa nusu uchi sawa! MTU kavaa three piece yake yenye rangi anayoipenda yeye, wewe inakutakia mini? Kwani alikuwa anavaa kwa ajili yako?
Sijamlaumu na wala sijamkataza kuvaa anachopenda ila nimemshangaa kuvaa nguo zenye rangi io,kwangu nimeona ajabu na kituko,ila sijakwambia kuwa namchukia au nataka avae kama mimi,so sijaona sababu ya mimi na wewe kukwaruzana kisa io suti ya njano,wewe nani umewahi kumuona kavaa ivo?
Msema kweli ni mpenzi wa mungu.
 
Mwanamke bangili
Mwanaume SAA
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Mwanamke bangili au boyfriend watch[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Saa pia zinatupendeza sana
 
7645cf6d578647079f0c3706b4f31701.jpg
7aded2d6cf5458e1ac300f2fe496903e.jpg

Usivae kizoba km huyu......
 
hiyo kitu ni suruali ya jeans ambayo ni nyembamba miguuni kiasi kwamba ukivaa na raba aina ya all star inaibana kisawasawa huku chuga huwa tunaichomokeaga kwenye travolta au ukiivaa na raba yoyote hiyo raba unaikaza mpaka inyanyuke kwa mbele...
final_bstSnapshot_408941.jpg
 
Back
Top Bottom