Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya bhana. TunaisubiriKuna siku nitawaletea story ya Chausiku.......
Swag Za chuga hizomi nachojua ni suruali mnyonyo......
chini kiatu traolta......
juu shati la dogidogi.....nimemaliza popote naenda hata kanisani...
Maajabu ya khanga !!Nguo ziwe safi jamaniiii.
Hahahahah!! Ngoja nicheke tu. That's allUtakuta mtu kapiga suti yake na mkononi ana Casio G-Shock.
HahahahHakikisha hutembelei mikono....sio miguu kama miwa na wewe unavaa pensi! Mi hunikuti nimevaa kaptura...ya nini kuchekesha walionuna!
Tukiwa chuo waliokuwa wanavaa hivo tulikuwa tunawaita kachumbari flavourShati bluu
Suruali njano
Sox kijani
Mkanda mweusi
Tai zambarau
Lazima ucheke
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mbona inachekesha....Unakuta Mtu kavaa suruali ya kitambaa cha mistari ina marinda na shati la mistari unaweza hisi umepishana na zebra! Plus anakuwa amevaa tie fulani Hivi vipana vifupi vibayaaaa bado awe na Afro lisiloeleweka na mkuki moyoni!
Umetisha......Kwa wanaume kwasasa,kuondoa mlolongo mrefu na kuumiza kichwa,vaa suruali ya kadet na tshirt ya form six au shati la jeans au shati la kawaida(ni vizuri kama ni shati uchomekee) ..hii unaingia popote,ofisini,biashara, kitaa,sherehe,baa na unaonekana ni mtu na heshima yako,na mtu hawezi kukujudge status yako..classic!