Nitajie faida? Kupata mademu, kusifiwa, kuonekana una hela wakati huna hela...Kuvaa vizuri ni relative. Unaweza ukawa unavaa vizuri relative to watu wanakuzunguka. Lakini ukienda kwenye class nyingine ukaonekana unavaa ovyo..Kuvaa ni pesa unless unazungumzia kuvaa midosho ya kariakoo. Sasa usije ukalazimisha kuvaa vizuri wakati uwezo huna. Kuna watu wapo radhi wakose chakula lakini waonekane maridadi mtaani. Hii ni kutaka uonekane upo juu kwa wengine. Mfano ni wacongoman wanapenda sana umaridadi laki watembelee wanapoishi ndo utajua umaridadi wao ni bure. Umaridadi bila pesa ni kujitia stress tu. Just vaa descent but don't overdress to impress other to think something you are not. Na wengi ambao wanawaza category hii ya mavazi ndo kinachowasukuma So far Bongo ni maduka machache sana yanayouza nguo za maana. Yaliyobaki ni malapu lapu tu.