Darasa la Programming for beginners (Jifunze Kutengeneza Website From the Scratch)

Darasa la Programming for beginners (Jifunze Kutengeneza Website From the Scratch)

😅😅😅 uzi nimeusoma hata html shida mpaka narudi ni full stack web developer bado hakuna myendelezo
 
Uzi ushatelekezwa huu sijui kwann huwa zinaishia njian
Acheni kuwa na haraka kwani umelipia ada tulia bana
Kitu kinacho itwa sayansi kinahitaji utulivu,usahihi,na ustadi pia, akimaliza issue zake atapandisha somo na kama unauhitaji na huduma kwa uharaka mcheki inbox. Mbageini akufundishi angalau umtoe maokoto
 
Mwenye Google Play Console nanunua bei kuanzia laki 5 , iwe na angalau mwaka mmoja, na app hata moja ndani, ikiwa na keystore itakua poa zaidi, nicheki 0718474600 kama unayo
 
Back
Top Bottom