Hilo somo lamaadili litakuwa linazungumzia nini wakat kutakuwa nasomo lauraia??
Hivi kuna haja yakuwa nasomo la maadili wakati kuna somo lauraia?
Uraia unamfanya mwanafunzi awe mzalendo wanchi yake, nirahisi kuwa jenga watoto kuwa na uzalendo lakin maadili nivigumu kwasababu maadili hujengwa kimila, ukanda, dini na kabila.
Nivigumu kutengeneza maadili mashuleni kwasababu zifuatazo:-
1-watoto hukaa muda mchache shulen ukilinganisha na mitaani, namitaani nikubovu sana.
2-watoto wanazijua RIGHTS zao walizopewa, maadili yajamii nyingi za kiafrica yanakinzana na haki zakibinadamu ie mtoto amepewa RIGHTS kama freedom of press,personal n.k...hizi ndo zinazowapa viburi wapatapo balegh kiasi chakuanza kujihusisha na maovu kwakisingizio cha UHURU.
3-medias, nyingi zinafundisha uovu, TCRA zinashindwa kutrap vipindi vizur, matokeo yake mtoto anaqngalia kila kitu.
4-watoto ni vipenzi wa macomedians, macomedians kila siku wana ACT ushoga na usagaji.
###mkifanikiwa kufundisha maadili, huku medias, wasanii/comedian, movies, wanawapiga msasa pindi watokapo shuleni###
:::::NANUSA HARUFU YA DINI MSETO::::