Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Sidhani kwa elimu yetu ya leo hata hao Form Four wanatosha Ubunge, lakn tujadili
Pigo kwa lusinde a.k.a kibajaji prof maji marefu na mashangingi ya viti maalumu
Tayari walishanunua vyeti vya elimu inayotakiwa siku nyingi, hao hawatatolewa na katiba, tunatakiwa tuwatoe sisi kupitia sanduku la kura. Labda kama tume ya uchaguzi itakuwa huru.
hata mm nina hasira kama wewe, inaumiza sana jamani, tufanyeje yaillahi?upande wa darasa saba ni sawa kabisa,ila upande wa kupandisha bei ya umeme na gesi ni uonevu wa hali ya juu sana kwa serikali hii ya mafisadi,kwanini mnawaumiza wananchi wa hali ya chini????????????
tuna phd holders wengi tu bungeni lakini sijaona la maana sana walilotufanyia kuwazidi wale walioishia darsa la saba, la nane, form 4 etc.
Tatizo la wabunge wetu au bunge letu kwa sasa sidhani kama ni kukosa wasomi ila zaidi ni kukosa uzalendo.
Watolewe hata form six humo mtu hana taaluma humo ndani wa nini kule yanajadiliwa maisha yetu sasa yeye hana ajualo kuanzia kufyatua tofali mpaka operesheni ya moyo yeye hana ajualo kitaalamu wa nini huko ndani???!!!!!
Katiba imesema ila na sisi majukwaani huku tukiwakataa vyama vitaanza kuwachujia ndani huko huko!!!!
Itawauma wengi hii ila ni dawa haswa!!!!!
Pigo kwa lusinde a.k.a kibajaji prof maji marefu na mashangingi ya viti maalumu
hata mm nina hasira kama wewe, inaumiza sana jamani, tufanyeje yaillahi?
Tuna PhD holders wengi tu bungeni lakini sijaona la maana sana walilotufanyia kuwazidi wale walioishia darsa la saba, la nane, form 4 etc.
Tatizo la wabunge wetu au bunge letu kwa sasa sidhani kama ni kukosa wasomi ila zaidi ni kukosa uzalendo.