Darasa la Saba Marufuku Kugombea Ubunge

Darasa la Saba Marufuku Kugombea Ubunge

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
49.JPG

Sidhani kwa elimu yetu ya leo hata hao Form Four wanatosha Ubunge, lakn tujadili
 
upande wa darasa saba ni sawa kabisa,ila upande wa kupandisha bei ya umeme na gesi ni uonevu wa hali ya juu sana kwa serikali hii ya mafisadi,kwanini mnawaumiza wananchi wa hali ya chini????????????
 
Pigo kwa lusinde a.k.a kibajaji prof maji marefu na mashangingi ya viti maalumu

Tayari walishanunua vyeti vya elimu inayotakiwa siku nyingi, hao hawatatolewa na katiba, tunatakiwa tuwatoe sisi kupitia sanduku la kura. Labda kama tume ya uchaguzi itakuwa huru.
 
Tuna PhD holders wengi tu bungeni lakini sijaona la maana sana walilotufanyia kuwazidi wale walioishia darsa la saba, la nane, form 4 etc.

Tatizo la wabunge wetu au bunge letu kwa sasa sidhani kama ni kukosa wasomi ila zaidi ni kukosa uzalendo.
 
Watolewe hata form six humo mtu hana taaluma humo ndani wa nini kule yanajadiliwa maisha yetu sasa yeye hana ajualo kuanzia kufyatua tofali mpaka operesheni ya moyo yeye hana ajualo kitaalamu wa nini huko ndani???!!!!!

Katiba imesema ila na sisi majukwaani huku tukiwakataa vyama vitaanza kuwachujia ndani huko huko!!!!

Itawauma wengi hii ila ni dawa haswa!!!!!
 
Tayari walishanunua vyeti vya elimu inayotakiwa siku nyingi, hao hawatatolewa na katiba, tunatakiwa tuwatoe sisi kupitia sanduku la kura. Labda kama tume ya uchaguzi itakuwa huru.

Zinahesabika siku zao,tutahitaji walokaa darasani muda sio mrefu hizi online ndio zitayeyukia hapo!!!!!
 
upande wa darasa saba ni sawa kabisa,ila upande wa kupandisha bei ya umeme na gesi ni uonevu wa hali ya juu sana kwa serikali hii ya mafisadi,kwanini mnawaumiza wananchi wa hali ya chini????????????
hata mm nina hasira kama wewe, inaumiza sana jamani, tufanyeje yaillahi?
 
So ni suala la mjadala, jk pia alijuta kuchagua maprof kwenye cabinet yake
tuna phd holders wengi tu bungeni lakini sijaona la maana sana walilotufanyia kuwazidi wale walioishia darsa la saba, la nane, form 4 etc.

Tatizo la wabunge wetu au bunge letu kwa sasa sidhani kama ni kukosa wasomi ila zaidi ni kukosa uzalendo.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
KUNA WA KADA YA CHINI WATAGUSWA PIA NA UKUMBUKE HII NI NCHI YA DEMOKRASIA ooooooops domokrasia
Watolewe hata form six humo mtu hana taaluma humo ndani wa nini kule yanajadiliwa maisha yetu sasa yeye hana ajualo kuanzia kufyatua tofali mpaka operesheni ya moyo yeye hana ajualo kitaalamu wa nini huko ndani???!!!!!

Katiba imesema ila na sisi majukwaani huku tukiwakataa vyama vitaanza kuwachujia ndani huko huko!!!!

Itawauma wengi hii ila ni dawa haswa!!!!!
 
tatizo la nchi hii sera kubwa ni pesa na kwa sababu watu wananjaa wakizionesha lazima washobokewe na wapiga kura hatimaye mwisho wa siku tunabaki kama tulivyo
 
Mbunge wa sasa anatakiwa awe na digrii ya kwanza ya Chuo kikuu kinachotambulika. Mbunge kuwa na sifa ya kidato cha nne bado kuna upungufu mkubwa. Siku hizi Kidato cha Nne ni sawa na darasa la nne ya mwaka 1967.
 
Jamani kiongoz anazaliwa wala hatengenezwi kwa elimu nyingi kama ingekuwa hivyo tungetengeza akina nyerere.tatzo rushwa.
 
ACHEN MANENO MENGI! tajili ataendelea kuwa tajili na maskin ataendelea kuwa masikini kwa mfumo wetu huu kama 2 mawazil wengi hawana biography inayoeleweka! katika ELIMU ni UBABAISHAJI 2 mfano.......loading..............
 
Tatizi si darasa la saba tatizo ni mfumo wa Elim ya kikoloni tunayo endelea nayo Duniya ime badilika sisi tuko pale pale alafu tuna lazimisha maji kupanda mlima mwanafunzi alie feli kidato cha4 awe mwalim au askari Suruwali ya kitambaa kiraka jinsi unataraji nini?
 
Tuna PhD holders wengi tu bungeni lakini sijaona la maana sana walilotufanyia kuwazidi wale walioishia darsa la saba, la nane, form 4 etc.

Tatizo la wabunge wetu au bunge letu kwa sasa sidhani kama ni kukosa wasomi ila zaidi ni kukosa uzalendo.

hata kukosa elimu ni jnga zaidi kwa sababu mimi binafsi naamini kwamba elimu ni kigezo kikubwa sana cha uongozi, bungeni kwetu tuna wabunge wasiojua hata SADC ni nini, tunaipeleka wapi nchi yetu ?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom