50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,088
- 4,059
Sina hakika mkuuHata kama kaishia darasa la 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina hakika mkuuHata kama kaishia darasa la 3
Batu Tale nimemsikia mara moja akiongea bungeni alikuwa akiuliza swali la nyongeza. Ongea yake unaweza kujiuliza aliwa convince vipi wajumbe mpaka wakampa kura? Au kwa sababu ni memeja wa msanii?Hawa jamaaa hawana impact yoyote kwa wananchi , hivi kweli Babu tale na yeye Mbunge anatakiwa aishauri na kuikosoa Serikali kweli?
Kama sijakosea kwenye katiba hawajataja kiwango cha elimu, wameandika aweze kusoma na kuandika.Hata kama kaishia darasa la 3
Serikali ina sifa zake inazozitaka kulingana na kazi, mahitaji na wakati. Mimi nawalaumu sana watumishi wanaokaa tu bila kujiendeleza mwisho wa siku wanajikuta hawana sifa kutokana na mahitaji ya wakati. Kwa upande wa Bunge sifa zao Mara nyingi zinatakiwa zimbebe kila mtu.Ni kweli kabisa maana wakati mwingine uongozi ni kipaji.
Nilichokuwa nahoji hapa kwa nini mfanya usafi au dreva wa darasa la saba hapaswi kupewa kazi serikalini wakati kazi yake haihitaji kujieleza au kuongoza?
Una maana umeridhika na vigezo vya wabunge kuingia bungeni?Dogo Serikali na Bunge ni vitu viwili tofauti ila vinategemeana. Sio lazima sifa za utumishi Serikalini zifanane na Sifa za Ubunge.
Acha hoja mfu zisizo na mashiko!Kanuni za kugombea nafasi za Udiwani na Ubunge zinataka mgombea ajue walau Kuandika, Kusoma na Kuhesabu. Basi!
Kanuni zitabadilishwa na nani? Kama tutategemea mabadiliko kupitia Bunge itakuwa ni ndoto za Alinacha.Kanuni zibadilishwe, Diwani aanzie form four na mbunge form six au Diploma.
Hata mimi nilikuwaga najiuliza hivi darasa la saba anaenda kufanya nini bungeni?Habari wanajukwaa,
Nimekuwa nikijiuliza Maswali mengi sana juu ya utumishi wa wabunge ambao ni darasa la saba. Muongozo wa ajira Serikalini ni kwamba wanaajiri kuanzia kidato cha nne na kuendelea, kama huna cheti cha form four huna sifa ya kuwa mtumishi wa umma.
Ninavyoelewa mimi inawezekana isiwe hivyo, mtumishi wa umma ni yule anayelipwa mshahara wake na serikali (kupitia kodi za wananchi). Kama serkali iliamua kuwatoa kwenye ajira watumishi wake ambao walikuwa na elimu ya darasa la saba, kwa nini wabunge wa darasa la saba hawakuguswa ili hali nao ni watumishi wa umma.
Mtumishi aliyekuwa dreva au mfanya usafi akaondolewa kwenye ajira kwa sababu ya darasa la saba, serkali haioni kuwa ilimuonea mtu huyo wakati kuna mbunge ambaye ana majukumu makubwa ya kitaifa ikiwamo kutunga sheria na kuishauri serikali. Utampate kazi mtu wa darasa la saba ya kutunga sheria na kushauri serkali wakati huohuo mfanya usafi na dreva ambaye anatolewa kwenye ajira kwa elimu ileile ya darasa la saba.
Serikali ipitie upya hii mifumo na ikiwezekana waongeze ufaulu wa elimu kuwa na sifa ya kugombea ubunge angalau iende mpaka kidato cha sita au stashahada (Diploma).
Wabunge ni wanasiasa.Usilinganishe wanasiasa (politicians) na watumishi wa umma (civil servants). Hawa wawili wanawajibika tofauti. Wanasiasa wanawajibika kwenye vyama vyao na wapiga kura wao. Watumishi wa umma wanawajibika kwa Katibu Mkuu Kiongozi. Hata sifa zao za kupata kazi ni tofauti.Habari wanajukwaa,
Nimekuwa nikijiuliza Maswali mengi sana juu ya utumishi wa wabunge ambao ni darasa la saba. Muongozo wa ajira Serikalini ni kwamba wanaajiri kuanzia kidato cha nne na kuendelea, kama huna cheti cha form four huna sifa ya kuwa mtumishi wa umma.
Ninavyoelewa mimi inawezekana isiwe hivyo, mtumishi wa umma ni yule anayelipwa mshahara wake na serikali (kupitia kodi za wananchi). Kama serkali iliamua kuwatoa kwenye ajira watumishi wake ambao walikuwa na elimu ya darasa la saba, kwa nini wabunge wa darasa la saba hawakuguswa ili hali nao ni watumishi wa umma.
Mtumishi aliyekuwa dreva au mfanya usafi akaondolewa kwenye ajira kwa sababu ya darasa la saba, serkali haioni kuwa ilimuonea mtu huyo wakati kuna mbunge ambaye ana majukumu makubwa ya kitaifa ikiwamo kutunga sheria na kuishauri serikali. Utampate kazi mtu wa darasa la saba ya kutunga sheria na kushauri serkali wakati huohuo mfanya usafi na dreva ambaye anatolewa kwenye ajira kwa elimu ileile ya darasa la saba.
Serikali ipitie upya hii mifumo na ikiwezekana waongeze ufaulu wa elimu kuwa na sifa ya kugombea ubunge angalau iende mpaka kidato cha sita au stashahada (Diploma).
Ndo mpaka kwenye kufagia? wakati mtunga sheria hawekewi vigezoSerikali ina sifa zake inazozitaka kulingana na kazi, mahitaji na wakati. Mimi nawalaumu sana watumishi wanaokaa tu bila kujiendeleza mwisho wa siku wanajikuta hawana sifa kutokana na mahitaji ya wakati. Kwa upande wa Bunge sifa zao Mara nyingi zinatakiwa zimbebe kila mtu.
Watu bado hawajajua umuhimu wa kuwa mbunge. Kwa kuwa ipo hivyo acha tuendelee hivyohivyoUna maana umeridhika na vigezo vya wabunge kuingia bungeni?
Acha kupotosha. Bunge ni sehemu nyeti isiyotaka akili za akina msukuma wewe.
Dunia hii ya sayansi msukuma atachangia nini kwa manufaa ya taifa?
Mambo ya uchumi na siasa za kimataifa Tale atachangia nini.....?
Infact wabunge wenye elimu ndogo muda wenu unakaribia. Mnalikwamisha taifa letu kwa makelele yenu ya kuwakosoa bila staha wabunge wasomi wanapotoa maoni yao ya kitaalamu.
Unaweza kuwa darasa la saba na ukaongea vizuri,mbona tabasamu mbunge wa sengerema ni darasa la 7 lakini anaongea vizuri sanaHabari wanajukwaa,
Nimekuwa nikijiuliza Maswali mengi sana juu ya utumishi wa wabunge ambao ni darasa la saba. Muongozo wa ajira Serikalini ni kwamba wanaajiri kuanzia kidato cha nne na kuendelea, kama huna cheti cha form four huna sifa ya kuwa mtumishi wa umma.
Ninavyoelewa mimi inawezekana isiwe hivyo, mtumishi wa umma ni yule anayelipwa mshahara wake na serikali (kupitia kodi za wananchi). Kama serkali iliamua kuwatoa kwenye ajira watumishi wake ambao walikuwa na elimu ya darasa la saba, kwa nini wabunge wa darasa la saba hawakuguswa ili hali nao ni watumishi wa umma.
Mtumishi aliyekuwa dreva au mfanya usafi akaondolewa kwenye ajira kwa sababu ya darasa la saba, serkali haioni kuwa ilimuonea mtu huyo wakati kuna mbunge ambaye ana majukumu makubwa ya kitaifa ikiwamo kutunga sheria na kuishauri serikali. Utampate kazi mtu wa darasa la saba ya kutunga sheria na kushauri serkali wakati huohuo mfanya usafi na dreva ambaye anatolewa kwenye ajira kwa elimu ileile ya darasa la saba.
Serikali ipitie upya hii mifumo na ikiwezekana waongeze ufaulu wa elimu kuwa na sifa ya kugombea ubunge angalau iende mpaka kidato cha sita au stashahada (Diploma).
Hii mbona ni sifa ya Elimu ya Vidudu yaani KKK(K-3)? Kusoma, Kuandika na Kuhesabu. Shame on you CCM Goverment!!Kanuni za kugombea nafasi za Udiwani na Ubunge zinataka mgombea ajue walau Kuandika, Kusoma na Kuhesabu. Basi!
Kuongea vizuri ndiyo kitu gani? Hujaona mtu anaongea vizuri lakini hajawahi kuchungulia hata darasani? Hoja hapa ni Elimu ya kuweza kudadavua maswala nyeti ya Kibunge, Kitaifa na Kimataifa. Hatutaki mbunge mwene Elimu ya kutukana Watu kwa vile tu wako Chama pinzani au wanao mzidi elimu!!!Unaweza kuwa darasa la saba na ukaongea vizuri,mbona tabasamu mbunge wa sengerema ni darasa la 7 lakini anaongea vizuri sana
Kuongea vizuri ndiyo kitu gani? Hujaona mtu anaongea vizuri lakini hajawahi kuchungulia hata darasani? Hoja hapa ni Elimu ya kuweza kudadavua maswala nyeti ya Kibunge, Kitaifa na Kimataifa. Hatutaki mbunge mwene Elimu ya kutukana Watu kwa vile tu wako Chama pinzani au wanao mzidi elimu!!!
Nashauri Wabunge wasomi wapeleke hoja binafsi na Serikali ilete muswada Bungeni mara moja ili kubadili Sheria ya kuomba kugombea Ubunge angalao minimum Qualificatoon iwe at least Certificate au Diploma kwene Taaluma yoyote kama ilivo kwa Ajira zote Serikalini.
A BIG NO TO CLASS 7.
Huyu msukuma anashauri vitu vinavyoonekanana papo kwa papo hasa kukosoa wenzake na kuchangia hoja general sio zile za kiutafiti, hana uwezo wa kujenga hoja au kuanzisha hoja binafsi yenye mashiko kwa taifa.Kwamba wenye elimu wamefanya nini?,....huoni msukuma anavyoshauri kuliko wenye elimu
Natilia shaka sana elimu yako na ufahamu ulio nao.Kuwa msomi wa elimu rasmi si guarantee ya ufanisi.
Mfano:-
Tumekuwa na Rais mwenye Ph.D ya sayansi lakini kakataa chanjo na barakoa.
Unataka kutatua tatizo ambalo halipo wakati tatizo lililopo hutatui.
Rejea post yangu namba 29 hapo juu.