Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
Asalaam Alaikum
Mabaharia wana msemo wao "one day yes", nasi, Abraar Bricks Nyumba kwa wote tunamshukuru Allah, wiki hii iliyopita tulikua na "Yes" double.
Yes zetu zote mbili zilikuwa ni matunda ya ubunifu, juhudi na ustahamilivu wa kuamini kuwa tuyafanyayo yanazingatia ubora wa Hali ya juu kwa gharama nafuu kwa faida ya jamii.
Yes yetu ya kwanza ni kwa kutunukiwa tuzo na shirika la Kingereza lililouona ubunifu wetu wa ujenzi kwa kutumia bidhaa tunazozalisha kwenye kiwanda chetu kidogo cha vifaa vya ujenzi. 👇🏽
Tabaraka Allah.
Abraar Bricks award winning staircase 👆🏾
Hizo ngazi, kuanzia kuunda vifaa vyake vyabiujejgea mpaka kujenga kwake, vyite vimefanywa na wanafunzi wakisimqmiqa na walikunwao wa ujenzi kwa vitendo.
Ngazi hizo zinaweza kujengwa kwenye jengo lolote iwe la chini au la ghorofa nyingi. Kwa Gharama nafuu na ubora wa hali ya huu.