Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
- Thread starter
- #21
taratbu mzee kwan shule gani hyo na ipo mkoa gan labda 2tajadili vizur
hiyo ni mtihani wa taifa sasa sijajua kama ni shule zote ila huku wamefanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
taratbu mzee kwan shule gani hyo na ipo mkoa gan labda 2tajadili vizur
wameanza lini mitihani.???
hahaha mkuu hiyo ndio big results hata mi mdogo wangu kalala mikamods iacheni hapa hapa. Mpwa wangu karudi nyumbani na kulalamika kuwa wamefanya mtihani wa darasa la 4 wa kifaransa wakati hawajawahi kusoma hata mara moja. Hivi wakifeli tutawalaumu hawa watoto? Kwanini tumeamua kuwaachia wapuuzi waharibu elimu?
We jamaa unayeharisha hapo juu,hebu nipe namba yako nkupigie uongee na mpwa wangu hapa .
hahaha mkuu hiyo ndio big results hata mi mdogo wangu kalala mika
jana na leo wamemaliza.
whaaaaat? Hahahaha. Japo ktk serikali hii, hlo lnawezekana ila fatilia vizuri kwanza bana