Darasa la4 wafanyishwa mtihani wa kifaransa bila kufundishwa hata mara moja.

Darasa la4 wafanyishwa mtihani wa kifaransa bila kufundishwa hata mara moja.

mods iacheni hapa hapa. Mpwa wangu karudi nyumbani na kulalamika kuwa wamefanya mtihani wa darasa la 4 wa kifaransa wakati hawajawahi kusoma hata mara moja. Hivi wakifeli tutawalaumu hawa watoto? Kwanini tumeamua kuwaachia wapuuzi waharibu elimu?
hahaha mkuu hiyo ndio big results hata mi mdogo wangu kalala mika
 
CC: Buku 7 wote pale lumumba
 
We jamaa unayeharisha hapo juu,hebu nipe namba yako nkupigie uongee na mpwa wangu hapa .

Kama Mtoto wa Darasa la Nne ameweza kuichezea Akili yako kama achezeavyo Tiara basi Kiwango cha Elimu yako ni Darasa la 3 B japo unaweza ukawa na Vyeti hata ya Degree ya Pili. Ukiambiwa Jambo na Mtoto jaribu kujiuliza, Inawezekana Huyo mpwa wako ni kiazi kama Mjomba wake, Kapigwa Pepa la Kiingereza akaona Nyota akadhan Kifaransa. Jifunze kuchuja Makando kando ya Watoto sio kugeuka kuwadi wa Mambo ya Mitoto mijinga!
 
Mwakani watafanya mtihani wa lugha ya kichina
BRN hoyeeeeeeee
 
#songoro ,umeamua kunitusi mimi na mpwa wangu kisa kaja kunambia kua wamefanya pepa ya french. Naomba umweke kwenye hiyo list na mwalimu wake aliyethibitsha hlo labda utapata amani ya moyo.
 
whaaaaat? Hahahaha. Japo ktk serikali hii, hlo lnawezekana ila fatilia vizuri kwanza bana Deo Corleone .
 
Last edited by a moderator:
jana na leo wamemaliza.

Aisee ni wa taifa au mock.?? Nna mpwa wangu nilimuuliza akanijibu sijui trh ngapi...kwa kifupi ni kwamba huwa hapendi kututajia tarehe za mtihani cz tunamcommand asome...no tv no playing..so huwa anapiga kimyaa unashangaa tu analeta results...ila ni kichwa na hasomi...
 
whaaaaat? Hahahaha. Japo ktk serikali hii, hlo lnawezekana ila fatilia vizuri kwanza bana

mkuu mapi jana madogo wanakuja wanalalamika nikajua utani nimemcheki ticha wao kasema kweli.
 
Back
Top Bottom