Na hapo ndio umuhimu wa wasanii kuwa na management maana ikitokea hakwenda kwenye show fulani hawatamuelewa wakati alikuwa ana nafasi ya kusema nitakuwa na show sehemu fulani huko sitaweza..... japo ni muda tofauti lakini ili kufanya seriuos show alitakiwa kukubali show moja kati ya hizo.Hii sasa ni too much,na ole wake asitokee kwenye shoo mojawapo atakuwa keshajiingiza kwenye bifu nao.
Kwani wanafunzi siyo wakubwa?show hizo ni muda tofauti halafu kuna moja ya wanafunzi nyingine ya wakubwa........
aliekuambia anaenda kupiga show bar ni nani? sio povu nakuuliza tu.........nenda kene pages za salama condom utawajua na wasanii wengine watakao perform na host atakuwa B12 na Kicheko a.k.a Masawe Mtata a.k.a Rais wa SingeliUkiona msanii anapiga shoo hadi kwenye baa ujue anapoelekea sio darasa
Kumbuka afande sele alikua anapiga shoo hadi mtaa kwa mtaa akachokwa haraka
Ndio anapoelekea. Darasa
kabisa, unamuona le mutuz sio mtoto!Mnaosema After school bash ya watoto mbona hata le mutuz huwa anenda!?
Tumia visivolevya wakati unaangalia Awards, bill kwangu!Nitakuwepo EATV awards. Kushuhudia tunzo atakayopokea
*ben pol
*Alikiba
*Navykenzo
*Vanessa mdee
*na manfongo
Hapo tu ndo huwa nachokaMnaosema After school bash ya watoto mbona hata le mutuz huwa anenda!?
Nahisi labda kwa sababu tunzo hizi mpaka uchukue form..sasa wameona wawape shavu kama kurudisha fadhila ya sapot waliyoungwa mkono na hao wasanii katika tunzo zao.Halafu hawa jamaa walichokifanya, karibia washiriki wote wa tuzo kwa upande wa wanamuziki "watapafom"
Pamoja sana mkuu.Tumia visivolevya wakati unaangalia Awards, bill kwangu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo ni kijana mdogo tu..ametimiza miaka 16 juzi.!
Hivi kwa nini walifanya hivo?Hizo tuzo za EATV zilipoteza mvuto siku ile tu walipotangaza washiriki lazima wajaze form za maombi ya ushiriki wao [emoji57]
Man fongo apate tuzoNitakuwepo EATV awards. Kushuhudia tunzo atakayopokea
*ben pol
*Alikiba
*Navykenzo
*Vanessa mdee
*na manfongo