Darasa leo 'utapafomu' wapi, After school bash au EATV awards?

Darasa leo 'utapafomu' wapi, After school bash au EATV awards?

Hii sasa ni too much,na ole wake asitokee kwenye shoo mojawapo atakuwa keshajiingiza kwenye bifu nao.
Na hapo ndio umuhimu wa wasanii kuwa na management maana ikitokea hakwenda kwenye show fulani hawatamuelewa wakati alikuwa ana nafasi ya kusema nitakuwa na show sehemu fulani huko sitaweza..... japo ni muda tofauti lakini ili kufanya seriuos show alitakiwa kukubali show moja kati ya hizo.
 
Ukiona msanii anapiga shoo hadi kwenye baa ujue anapoelekea sio darasa
Kumbuka afande sele alikua anapiga shoo hadi mtaa kwa mtaa akachokwa haraka
Ndio anapoelekea. Darasa
aliekuambia anaenda kupiga show bar ni nani? sio povu nakuuliza tu.........nenda kene pages za salama condom utawajua na wasanii wengine watakao perform na host atakuwa B12 na Kicheko a.k.a Masawe Mtata a.k.a Rais wa Singeli
 
alikuwepo jana kwenye FNL na amethibitisha kwamaba atakuwepo mlimani city kwenye [HASHTAG]#eatvawards[/HASHTAG] nadhani hilo halina shida tena
 
Nitakuwepo EATV awards. Kushuhudia tunzo atakayopokea
*ben pol
*Alikiba
*Navykenzo
*Vanessa mdee
*na manfongo
Halafu hawa jamaa walichokifanya, karibia washiriki wote wa tuzo kwa upande wa wanamuziki "watapafom"
 
Hizo tuzo za EATV zilipoteza mvuto siku ile tu walipotangaza washiriki lazima wajaze form za maombi ya ushiriki wao [emoji57]
Hivi kwa nini walifanya hivo?

Halafu wali iga wap huu mfumo?
 
EATV wakiweka show au tukio huwa lazima wasombe nyomi ya kutosha.....so wasanii wenye akili leo ndio wachague upande
 
Back
Top Bottom