johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,730
Akili za utoto tu na wivu wa kipumbavu. Mbna wao wakati wanazunguka mikoanimwezi hakuna aliyewaghasi?But clouds walibidi watumie busara.. Kwann wenzao wana awards wameweka shoo
Business is competition kama hutaki ushindani pita kushotoBut clouds walibidi watumie busara.. Kwann wenzao wana awards wameweka shoo
Huyo kubwa jinga tena.. !!![emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnaosema After school bash ya watoto mbona hata le mutuz huwa anenda!?
Upuuzi peleka huko rugeHizo tuzo za EATV zilipoteza mvuto siku ile tu walipotangaza washiriki lazima wajaze form za maombi ya ushiriki wao [emoji57]
Ni nani alipaswa kutumia busara kati ya Clouds na EATV? After School Bash ipo kwa miaka kadhaa sasa na ratiba yake inafahamika kwamba ni jumamosi ya pili ya mwezi desemba! Which means, wakati tunaingia tu 2016; tayari wadau walifahamu kwamba ASB mwaka huu itakuwa 10/12/2016! Sasa nani alifahamu kuhusu EATV Awards?But clouds walibidi watumie busara.. Kwann wenzao wana awards wameweka shoo
Best new comerMan fongo apate tuzo
Kuna kipengele cha singeli!?
Unaifahamu ratiba ya After Skul Bash? Kila mwaka inakuwa jmosi ya 2 ya disemba! Sasa mlitaka waghairishe kwa sababu ya EATV wakati kama ilikuwa ni lazima kuwa tarehe tofauti basi ni EATV ndio walitakiwa kuweka siku nyingine kwa sababu wakati wanaweka iku ya leo tayar walijua kwamba kunakuwa na ASB!Akili za utoto tu na wivu wa kipumbavu. Mbna wao wakati wanazunguka mikoanimwezi hakuna aliyewaghasi?
hapo tu ninapomuona ruge hana akili
Yule aliruka siteji hazeeki mileleMnaosema After school bash ya watoto mbona hata le mutuz huwa anenda!?
Le mutuz Anne samwel malecela kilangoDuuuuuh,jamaa apitwi na ya mjini kila tukio yupo.
Bado Kwa wimbo mmoja huo???bado Ali ni kipenzi cha watuNaona sikuhizi Darasa kapitia upepo wa Alikiba hahaha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnaosema After school bash ya watoto mbona hata le mutuz huwa anenda!?
kuna ukumbi mkubwa wa kujaza nyomi la kufa nyau unaitwa 'Dar live'Ukiona msanii anapiga shoo hadi kwenye baa ujue anapoelekea sio darasa
Kumbuka afande sele alikua anapiga shoo hadi mtaa kwa mtaa akachokwa haraka
Ndio anapoelekea. Darasa
ndiyo maana wanafeli wana ulocal mwingiMimi mwenyewe huwa nashindwa kushangaa,hii kitu wameitoa sayari gani ???
Mkuu upo vizuri,una full data.Unaifahamu ratiba ya After Skul Bash? Kila mwaka inakuwa jmosi ya 2 ya disemba! Sasa mlitaka waghairishe kwa sababu ya EATV wakati kama ilikuwa ni lazima kuwa tarehe tofauti basi ni EATV ndio walitakiwa kuweka siku nyingine kwa sababu wakati wanaweka iku ya leo tayar walijua kwamba kunakuwa na ASB!
Hyo bash hata haijulikanaga sana haina tofauti na zile za Chuo welcome first year, mi sikujuaga ka clouds wana hizo bash za December.Unaifahamu ratiba ya After Skul Bash? Kila mwaka inakuwa jmosi ya 2 ya disemba! Sasa mlitaka waghairishe kwa sababu ya EATV wakati kama ilikuwa ni lazima kuwa tarehe tofauti basi ni EATV ndio walitakiwa kuweka siku nyingine kwa sababu wakati wanaweka iku ya leo tayar walijua kwamba kunakuwa na ASB!
dARASA NI MSANII WA cLOUDS, akizingua tu kwisha - Msanii gani unategemea show za matamasha.Hii sasa ni too much,na ole wake asitokee kwenye shoo mojawapo atakuwa keshajiingiza kwenye bifu nao.
Mwaka jana mlifanya?Unaifahamu ratiba ya After Skul Bash? Kila mwaka inakuwa jmosi ya 2 ya disemba! Sasa mlitaka waghairishe kwa sababu ya EATV wakati kama ilikuwa ni lazima kuwa tarehe tofauti basi ni EATV ndio walitakiwa kuweka siku nyingine kwa sababu wakati wanaweka iku ya leo tayar walijua kwamba kunakuwa na ASB!
Huo utaratibu wa kujipendekeza mwenyewe ni mzuri sana..unaweka kazi yako pale unapotaka iwekwe!Hizo tuzo za EATV zilipoteza mvuto siku ile tu walipotangaza washiriki lazima wajaze form za maombi ya ushiriki wao [emoji57]
Mlifanya akina nani?Mwaka jana mlifanya?
Dah! Muogope Mungu aisee... skul bash mbona kila mwaka ina-sound sana na wala huwezi kulinganisha na hiyo ya kukaribisha first year! But all in all, hoja ya msingi ni kwamba, kila mwaka huwa inafanyika Jmosi ya pili ya December bila kujali kama inabamba au vinginevyo!!Hyo bash hata haijulikanaga sana haina tofauti na zile za Chuo welcome first year, mi sikujuaga ka clouds wana hizo bash za December.