Darasa leo 'utapafomu' wapi, After school bash au EATV awards?

But clouds walibidi watumie busara.. Kwann wenzao wana awards wameweka shoo
Ni nani alipaswa kutumia busara kati ya Clouds na EATV? After School Bash ipo kwa miaka kadhaa sasa na ratiba yake inafahamika kwamba ni jumamosi ya pili ya mwezi desemba! Which means, wakati tunaingia tu 2016; tayari wadau walifahamu kwamba ASB mwaka huu itakuwa 10/12/2016! Sasa nani alifahamu kuhusu EATV Awards?
 
Akili za utoto tu na wivu wa kipumbavu. Mbna wao wakati wanazunguka mikoanimwezi hakuna aliyewaghasi?
hapo tu ninapomuona ruge hana akili
Unaifahamu ratiba ya After Skul Bash? Kila mwaka inakuwa jmosi ya 2 ya disemba! Sasa mlitaka waghairishe kwa sababu ya EATV wakati kama ilikuwa ni lazima kuwa tarehe tofauti basi ni EATV ndio walitakiwa kuweka siku nyingine kwa sababu wakati wanaweka iku ya leo tayar walijua kwamba kunakuwa na ASB!
 
Ukiona msanii anapiga shoo hadi kwenye baa ujue anapoelekea sio darasa
Kumbuka afande sele alikua anapiga shoo hadi mtaa kwa mtaa akachokwa haraka
Ndio anapoelekea. Darasa
kuna ukumbi mkubwa wa kujaza nyomi la kufa nyau unaitwa 'Dar live'
 
Unaifahamu ratiba ya After Skul Bash? Kila mwaka inakuwa jmosi ya 2 ya disemba! Sasa mlitaka waghairishe kwa sababu ya EATV wakati kama ilikuwa ni lazima kuwa tarehe tofauti basi ni EATV ndio walitakiwa kuweka siku nyingine kwa sababu wakati wanaweka iku ya leo tayar walijua kwamba kunakuwa na ASB!
Mkuu upo vizuri,una full data.
 
Unaifahamu ratiba ya After Skul Bash? Kila mwaka inakuwa jmosi ya 2 ya disemba! Sasa mlitaka waghairishe kwa sababu ya EATV wakati kama ilikuwa ni lazima kuwa tarehe tofauti basi ni EATV ndio walitakiwa kuweka siku nyingine kwa sababu wakati wanaweka iku ya leo tayar walijua kwamba kunakuwa na ASB!
Hyo bash hata haijulikanaga sana haina tofauti na zile za Chuo welcome first year, mi sikujuaga ka clouds wana hizo bash za December.
 
Hii sasa ni too much,na ole wake asitokee kwenye shoo mojawapo atakuwa keshajiingiza kwenye bifu nao.
dARASA NI MSANII WA cLOUDS, akizingua tu kwisha - Msanii gani unategemea show za matamasha.
 
Unaifahamu ratiba ya After Skul Bash? Kila mwaka inakuwa jmosi ya 2 ya disemba! Sasa mlitaka waghairishe kwa sababu ya EATV wakati kama ilikuwa ni lazima kuwa tarehe tofauti basi ni EATV ndio walitakiwa kuweka siku nyingine kwa sababu wakati wanaweka iku ya leo tayar walijua kwamba kunakuwa na ASB!
Mwaka jana mlifanya?
 
Hizo tuzo za EATV zilipoteza mvuto siku ile tu walipotangaza washiriki lazima wajaze form za maombi ya ushiriki wao [emoji57]
Huo utaratibu wa kujipendekeza mwenyewe ni mzuri sana..unaweka kazi yako pale unapotaka iwekwe!

Kama unadhani video yako ni bora unaomba kushindania video bora..

Kama unadhani wewe ni msanii bora unayechipukia basi unajaza form unaomba unapendekeza uwekwe hapo kwa chipukizi..

Na hii itakuwa haina malalamiko maana unawekwa ulipodhani unatosha!!

Tatizo la wasanii wa Tanzania wanaona kama kujipendekeza wenyewe ni kujishusha..wanapenda kulambwa miguu!!
 
Hyo bash hata haijulikanaga sana haina tofauti na zile za Chuo welcome first year, mi sikujuaga ka clouds wana hizo bash za December.
Dah! Muogope Mungu aisee... skul bash mbona kila mwaka ina-sound sana na wala huwezi kulinganisha na hiyo ya kukaribisha first year! But all in all, hoja ya msingi ni kwamba, kila mwaka huwa inafanyika Jmosi ya pili ya December bila kujali kama inabamba au vinginevyo!!
 
Back
Top Bottom