Wajilambe wenyewe kwanza kila MTU anamaisha yakeHuo utaratibu wa kujipendekeza mwenyewe ni mzuri sana..unaweka kazi yako pale unapotaka iwekwe!
Kama unadhani video yako ni bora unaomba kushindania video bora..
Kama unadhani wewe ni msanii bora unayechipukia basi unajaza form unaomba unapendekeza uwekwe hapo kwa chipukizi..
Na hii itakuwa haina malalamiko maana unawekwa ulipodhani unatosha!!
Tatizo la wasanii wa Tanzania wanaona kama kujipendekeza wenyewe ni kujishusha..wanapenda kulambwa miguu!!
Kabisaa nipo na popcorn nafuatilia ya wakubwashow hizo ni muda tofauti halafu kuna moja ya wanafunzi nyingine ya wakubwa........
Tupo woteNitakuwepo EATV awards. Kushuhudia tunzo atakayopokea
*ben pol
*Alikiba
*Navykenzo
*Vanessa mdee
*na manfongo
Umepiga kura lakini? [emoji23] [emoji23]Hapana bos malalaiko yangu yako sahihi, uliwahi ona wapi tuzo mtu ana ambiwa akachukue form!!?
Only in Tz, nawapongeza sana kwa kufanya tuzo iwepo, lakoni moja ya mapungufu ni nominees kujipendekeza
Mnaosema After school bash ya watoto mbona hata le mutuz huwa anenda!?
Sio lazima kuiga kila kitu kwenye tuzo flani kila tuzo huwa na criteria zake mkuu.Hapana bos malalaiko yangu yako sahihi, uliwahi ona wapi tuzo mtu ana ambiwa akachukue form!!?
Only in Tz, nawapongeza sana kwa kufanya tuzo iwepo, lakoni moja ya mapungufu ni nominees kujipendekeza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio lazima kuiga kila kitu kwenye tuzo flani kila tuzo huwa na criteria zake mkuu.
Sjaona wa kumpigia kura, ntafutalia kinafiki hivo hivoUmepiga kura lakini? [emoji23] [emoji23]
Hauruhusiwi kulalamika kama hujapiga kura.
Sawa nimekuelewaSio lazima kuiga kila kitu kwenye tuzo flani kila tuzo huwa na criteria zake mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sjaona wa kumpigia kura, ntafutalia kinafiki hivo hivo
Aisee wamejitaidi kuanzia nje kupo vzuri mbona hawarushi live sasa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Iceman 3D anakupigia hesabu hapo mkuu akujibu jibu gani litakalokufurahisha, kifupi atakuja na mifano ya grammy, BET, Afrimma, MTV mama.
View attachment 444819
View attachment 444820
Ukumbi umependeza mkuu utasema Tunzo za MTV MAMA.
View attachment 444822
Siwafahamu hope huwa wanapita JF na kuchukua maoni ili kuboresha zaidiSawa nimekuelewa
Ila plz kama unawafaham watu wa EATV wape maoni yangu, yafikiriwe naamini yatakuwa poa tu
Ulinzi upo vizuri, amani inapatikanaAisee wamejitaidi kuanzia nje kupo vzuri mbona hawarushi live sasa.
AseeUlinzi upo vizuri, amani inapatikana
View attachment 444845
Steji ipo kimataifa
View attachment 444847
Arrangement iko poa kwa mpangilio kama tupo marekani au south Africa
View attachment 444848