Wajilambe wenyewe kwanza kila MTU anamaisha yakeHuo utaratibu wa kujipendekeza mwenyewe ni mzuri sana..unaweka kazi yako pale unapotaka iwekwe!
Kama unadhani video yako ni bora unaomba kushindania video bora..
Kama unadhani wewe ni msanii bora unayechipukia basi unajaza form unaomba unapendekeza uwekwe hapo kwa chipukizi..
Na hii itakuwa haina malalamiko maana unawekwa ulipodhani unatosha!!
Tatizo la wasanii wa Tanzania wanaona kama kujipendekeza wenyewe ni kujishusha..wanapenda kulambwa miguu!!