Darasa leo 'utapafomu' wapi, After school bash au EATV awards?

Darasa leo 'utapafomu' wapi, After school bash au EATV awards?

Huo utaratibu wa kujipendekeza mwenyewe ni mzuri sana..unaweka kazi yako pale unapotaka iwekwe!

Kama unadhani video yako ni bora unaomba kushindania video bora..

Kama unadhani wewe ni msanii bora unayechipukia basi unajaza form unaomba unapendekeza uwekwe hapo kwa chipukizi..

Na hii itakuwa haina malalamiko maana unawekwa ulipodhani unatosha!!

Tatizo la wasanii wa Tanzania wanaona kama kujipendekeza wenyewe ni kujishusha..wanapenda kulambwa miguu!!
Wajilambe wenyewe kwanza kila MTU anamaisha yake
 
Hapana bos malalaiko yangu yako sahihi, uliwahi ona wapi tuzo mtu ana ambiwa akachukue form!!?
Only in Tz, nawapongeza sana kwa kufanya tuzo iwepo, lakoni moja ya mapungufu ni nominees kujipendekeza
Umepiga kura lakini? [emoji23] [emoji23]
Hauruhusiwi kulalamika kama hujapiga kura.
 
Hapana bos malalaiko yangu yako sahihi, uliwahi ona wapi tuzo mtu ana ambiwa akachukue form!!?
Only in Tz, nawapongeza sana kwa kufanya tuzo iwepo, lakoni moja ya mapungufu ni nominees kujipendekeza
Sio lazima kuiga kila kitu kwenye tuzo flani kila tuzo huwa na criteria zake mkuu.
 
Sio lazima kuiga kila kitu kwenye tuzo flani kila tuzo huwa na criteria zake mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Iceman 3D anakupigia hesabu hapo mkuu akujibu jibu gani litakalokufurahisha, kifupi atakuja na mifano ya grammy, BET, Afrimma, MTV mama.
1481393415616.jpg

1481393424366.jpg

Ukumbi umependeza mkuu utasema Tunzo za MTV MAMA.
1481393462966.jpg
 
Heee basi me najuaga eti tunzo zozote ni lazima muhusika ajaze form,kwahiyo na KTMA walikua hawajazi kumbe? Hata hizo za nje pia?
 
Back
Top Bottom