Darasa lililokamilika ilikuwa lazima liwe na watu hawa, wewe ulikuwa yupi?

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
418
Reaction score
550
Tulipokuwa shule, darasani tulikuwa wanafunzi wa aina mbalimbali na makundi tofautitofauti kulingana na tabia au haiba ya mtu.

Darasa lililokamilika kwa hekaheka za hapa na pale ilikuwa lazima liwe na watu wa aina zote kama inavyoonekana hapa picha.

Mimi nilikuwa Joni Kisomo, wewe ulikuwa yupi?
 
Sipo. Ni wale low key, tupo kama hatupo.
 

Sifa 3. Joni Kisomo,mtoro alafu ni mtu wa backbencher.
Nilikuwa natoroka shule kipindi nipo 4m4 miezi 6 sionekani wazazi hawajui nipo wapi na shule hawajui nipo wapi.
Nilikuwa nipo chimbo napiga kitabu hatari. Mwezi wa 9 nikarudi shule. Wakataka kunipa adhabu ya utoro Kwa kunifukuza shule.
 
Backbencher kona, kila level hiyo mwendo huohuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…