Darasa lililokamilika ilikuwa lazima liwe na watu hawa, wewe ulikuwa yupi?

Hapo pa kipa sio umenipiga dogo?
Nimedaka sana shuleni, team ya mtaani nimedaka sana......kipindi cha UMISETA kuna jamaa nlikua nacompete nae sana saiv yupo team moja huko kanda ya ziwa inapambania kwenda ligi kuu.
 
Hivi huwa kuna uhusiano gani kati ya nywele kipili pili na ununda?. Wewe muangalie hata Mtu wa Kazi naye ni kipilipili. Hawa jamaa sijui huwa wana matatizo gani.
 
Nimedaka sana shuleni, team ya mtaani nimedaka sana......kipindi cha UMISETA kuna jamaa nlikua nacompete nae sana saiv yupo team moja huko kanda ya ziwa inapambania kwenda ligi kuu.
Sasa ulipotelea wapi? Ukute ungekuwa Diarra wa yanga sasahivi🙆‍♂️
 
Shule ya msingi nilikuwa john kisomo
Sekondari nilikuwa john kisomo
Advance nikawa john kisomo+MISIFA+MAKELELE MENGI
CHUONI NIKAWA MFANYABIASHARA
 
Hunikuti popote kati ya wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…