Darasa lililokamilika ilikuwa lazima liwe na watu hawa, wewe ulikuwa yupi?

wapenzi hapo ndo nipo mtaalamu hapa. Kwanza primary nilikua ns pisi ambayo shule mzima walikua wanajua tunadate.
 
Kiongozi wa dini lakini nilikua mmbea sana, nisikuone joint mass na Easter Conference upo na Mtu, weee kipindi Cha dini chote mwezi mzima ni mahubiri juu yako.
Nilikua nawamind watu kama nyinyi
 
Mchoraji... ila sasa nimeacha kutumia penseli sizani kama naweza tena... ofcz natumia softwares ๐Ÿ˜Ž
 
Wapenzi๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ