UchorajiTulipokuwa shule, darasani tulikuwa wanafunzi wa aina mbalimbali na makundi tofautitofauti kulingana na tabia au haiba ya mtu.
Darasa lililokamilika kwa hekaheka za hapa na pale ilikuwa lazima liwe na watu wa aina zote kama inavyoonekana hapa picha.
Mimi nilikuwa Joni Kisomo, wewe ulikuwa yupi?
View attachment 3472593
Rudi zako YesuNenda zako shetani
NdioUlianza mapenzi primary
Ndiyoooooo. Hatuna deni mbinguniMlikuwa wanoko sana nyie
Humo humo mahi πΉ
Ningeshangaa sana kama ungekosa kundi hiloπHumo humo mahi πΉ
Halafu nilikua mbabe wakipanga kunisuta wanaogopa..!! Ila backbencher nilikuwa napenda kukaa muda wa kusogoa umbea, kuna siku nilibeba bag langu nihamie b-bencher ili niufaidi umbea vizuri, ticha wa Mathe aliniwashia moto mpk kesi ikafika kwa maza nilichapika πΉπΉπΉπΉ
BAck benchaz mbka uzamivuπ«‘Tulipokuwa shule, darasani tulikuwa wanafunzi wa aina mbalimbali na makundi tofautitofauti kulingana na tabia au haiba ya mtu.
Darasa lililokamilika kwa hekaheka za hapa na pale ilikuwa lazima liwe na watu wa aina zote kama inavyoonekana hapa picha.
Mimi nilikuwa Joni Kisomo, wewe ulikuwa yupi?
View attachment 3472593
joni kisomo alikuwa hawezi kuwa mtoroSifa 3. Joni Kisomo,mtoro alafu ni mtu wa backbencher.
Nilikuwa natoroka shule kipindi nipo 4m4 miezi 6 sionekani wazazi hawajui nipo wapi na shule hawajui nipo wapi.
Nilikuwa nipo chimbo napiga kitabu hatari. Mwezi wa 9 nikarudi shule. Wakataka kunipa adhabu ya utoro Kwa kunifukuza shule.