Darasa na Jux wachukizwa na Harmonize kwa kuwataja kwenye shoo bila makubaliano

Darasa na Jux wachukizwa na Harmonize kwa kuwataja kwenye shoo bila makubaliano

kamba0719

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Posts
804
Reaction score
1,906
Harmonize ameanza kuipigia promo show yake ambayo inafanyika mnamo wa tarehe 5 March, katika matangazo hayo amewa-list wasanii wengi wa nje na wa ndani, ila Jux na Darrasa wamem-maindi baada ya kuyaweka majina yao bila ya kuongea na management zao.
Screenshot_20220208-212731_Instagram.jpg
Screenshot_20220208-212711_Instagram.jpg
Screenshot_20220208-212633_Instagram.jpg
 
Walichokifanya ni sahihi. Yawezekana hajui au labda anajua ila kaamua kutokujali mikataba ya wenzake. Hawa jamaa wamekuwa wastaarabu sana. Nakumbuka kuna msanii mkongwe (Mtoto wa Katwila) alikomaa na Diamond alipoliweka jina lake kwenye bango lake la tangazo.

Sijui walimalizanaje.
 
Jux sio msanii wa kupigwa vumbi Tabata. Yule bishoo amejibu kwa heshima ila anajua hawezi tia mguu pale.

Na hao Wakenya labda awarubuni sijui nani atabebwa kuja kwenye mchanga pale
 
Back
Top Bottom