Darasa na Jux wachukizwa na Harmonize kwa kuwataja kwenye shoo bila makubaliano

Darasa na Jux wachukizwa na Harmonize kwa kuwataja kwenye shoo bila makubaliano

Ni ushamba sana maaana ukute kuna promota alimtaka jux labda akiona tangazo anahairisha kumbe jux mwenyewe hana taarifa kama anashow hahaha. Ni sawa unapita sehemu unasikia watu wanasema una demu mkali unabaki kushangaa demu mbona niko single mwaka sasa nakula nyeto.
 
Mkuu 🤣🤣🤣🤣 nyeto imeingiaje aje hapo?? 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kiukweli teacher anaelekea kubaya sana, tatizo la harmonize ni moja tu anajifanya yeye ni mkubwa sana alafu anapenda ushindan sana badala afanye vitu vyake kiufup ana force ukubwa ambao bado hajaupata.

Mimi namkubali sana mwamba hata alivoondoka wasaf me naona ni fresh tu,,

Mimi namshauri aachane na mambo ya kushindana kipumbavu awe kama kiba ww fanya vitu vyako vizur ukubwa unakuja wenyewe tu asitumie nguvu sana.. sasa mfano kama hapa yaan huyu konde anapaswa kumuheshim mtu kama jux ni msanii mkubwa unambandika kwenye matangazo yako bila makubaliano yoyote kiufup dogo anajiona ni mkubwa sana mpka analeta dharau la kuchukulia wenzake kama wadogo sana kwake! hizi ni dharau.

Nahisi ana uongozi mbovu sana hawamshauri vizur na wanampoteza,

Koho koho yawwoo jesh
 
Upendi kuona mmakonde mwenzako akisemwa nimeipenda Sana hii spirit mlionayo wamakonde hongereni Sana kwenye hili
Nilijua tu juma lokole lazima utanikoti..

Nimeipenda spirit yako u kupe. Bado kidogo utampiku zuchu uolewe wewe.
 
Back
Top Bottom