Darasa na Jux wachukizwa na Harmonize kwa kuwataja kwenye shoo bila makubaliano

Darasa na Jux wachukizwa na Harmonize kwa kuwataja kwenye shoo bila makubaliano

Yani amerudi 6 years back[emoji28] international artist kufanya shows za buku 5 hadi 10 duh! Kweli njaa iko real.
Watu walimsaport kuondoka kwa Diamond. Ndio utaona utofauti mkubwa kati ya Diamond na wasanii wengine. Angekuwa bado kwa Wasafi angekuwa na jina kubwa sana mpaka sasa. Na angekuwa bado yuko vizuri kiuchumi

Muda mwingine tamaa zinaponza sana kwamba nikiwa peke yangu nitapata nyingi sana. Kumbe hakujua alikuwa anatembelea nguvu ya mond.
 
Noma kweli yani pale Wasafi Brand kubwa sana yani! Huwezi fananisha na Konde Gang halafu alijimaliza ku sign wasanii wengi ghafla.
 
Hivi ni ule uwanja uliokuwa katikati ya shule ya JICA na Tabata Shule, wenye michanga mingi? au kuna mwingine.
Itakuwa ni pale pale sioni tofauti na hapo, otherwise wafanye pale pembeni ya hospitali. Sasa pale sijui hata parking itatoka wapi ni heri angeenda Mbagala kule ana ndugu zake wengi ila Tabata sidhani kama kuna type ya disco vumbi.
 
Kumekucha tena.

Siku mpya.

Tunajadili Watu🤣🤣🤣🤣🤣
 
I thought celebrities ni watu?? Na anaeingia jukwaa la celebrities anakuja kujadili na kusoma story kuhusu watu sio miti wala milima. 🙆
Kuna kujadili celebrities na kujadili Gossips.

Kinachojadiliwa hapa Ni Gossiping kitu ambacho Ni AIBU kwa mwanaume kufanya.
 
Back
Top Bottom