Alaf majina Yao akayaondoa?kick hizo hamjawasoma tu wamekubaliana kutokukubaliana
Hivi ni ule uwanja uliokuwa katikati ya shule ya JICA na Tabata Shule, wenye michanga mingi? au kuna mwingine.Sasa party inafanyika Tabata shule alafu anataka brotherman Jux akaimbe huyu konde kaishiwa kabisa
Itakuwa pale pale tu maana hamna sehem wasanii wana perform Tabata shule zaidi ya pale. Unless wachukue ukumbi pale Greenlight Hotel!Hivi ni ule uwanja uliokuwa katikati ya shule ya JICA na Tabata Shule, wenye michanga mingi? au kuna mwingine.
Yani amerudi 6 years backπ international artist kufanya shows za buku 5 hadi 10 duh! Kweli njaa iko real.konde anapoelekea siko
ππππ duuu Konde anazingua.Itakuwa pale pale tu maana hamna sehem wasanii wana perform Tabata shule zaidi ya pale. Unless wachukue ukumbi pale Greenlight Hotel!
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Sasa party inafanyika Tabata shule alafu anataka brotherman Jux akaimbe huyu konde kaishiwa kabisa