Darasa Punguza ulevi

Darasa homeboy anakunywa tangu kitambo sana kabla hata hujamjua. Blah blah hatutaki kusikia
 
Kweli kama braza anabwia kihivyo hatafanikiwa kwa sababu ndo kwanza katengeneza hit single iliyomlipafaida sana. na hata mwaka haujaisha ashaanza kujiona star kweli atapotea pabaya sana.

Nikimcheki alivyo hardcore naumia mchizi namkubali sana.
 
Darasa inabidi ...ajilinde sana maana ...ameshaonekana ni threat.....watamtafuta kila pahala wamchafue.....wapaka mav.vi walioajiriwa wapo wengi......ila kama ni chapombe kweli ajicontrol....maana ataangukia pua kweli kweli....atumie muda mwingi kufikiri namna ya kuexpand
 
Kinachonitatiza... Huyu Darasa yuko JF au ndo biashara ya kupaka upepo rangi??
 
Atakua avuta bangi akakatia viroba..... Siunajua bangi ya pande zile so yakitoto
 
Kuna MTU anauza dawa za kuacha pombe sijui ule Uzi uko WAP nataka mtafuta mana Nina ndugu yangu kwa kweli ameshindikana kabisa
 
Sasa nimeelewa halafu kuna maneno aliongea baada ya ajali akisema hawatuwezi ...kweli ilikuwa pombe ile.
Nimemuona leo mitandaoni kapiga picha na transforma chocheo la zamani,naye wa kujiangalia na wimbo wake mmoja
 
Huyu kijana kaimba maneno hata kwenys kanga yapo....acha maneno weka muziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…