Darasa Punguza ulevi

Darasa Punguza ulevi

Ulevi ni mbaya hasa ukisababisha kushindwa kutimiza wajibu wako.
Darasa anaonekana kabisa ni mnywanji lakini sikudhani kama anaweza kunywa kufikia kushindwa kutimiza wajibu wake.
Nashukuru kwa kumwambia ukweli na huo ndio ushabiki wa kweli ikiwezekana ajitazame na kubadilika.

Najua Darasa anapendwa sana na wengine wanaweza wasikuamini kwakuwa wanampenda sana hata kama uliyo yasema ni ukweli lakini najua umetimiza wajibu wako.
Pengine wimbo wake umekuwa mkubwa sana hadi ameshindwa kuhimili kishindo cha wimbo wake.
Hapa ndio utajua umuhimu wa management....
Darasa kama kweli unakunywa hadi unashindwa kutimiza wajibun wako basi acha ulofa na ubadilike..huu ni wakati wako hakuna nafasi nyingine.

tulisema humu
 
YALISEMWA HAPA WATU OH HATERS!!

tusubiri kuitwa haters kwa baba la baba
Ruttashobolwa tuna tatizo aseeh!!
Dee hayuko poa!!
Thread kama hi tuisubiri!!
Hata video za juzi haziko poa!!
 
Ulevi ni mbaya hasa ukisababisha kushindwa kutimiza wajibu wako.
Darasa anaonekana kabisa ni mnywanji lakini sikudhani kama anaweza kunywa kufikia kushindwa kutimiza wajibu wake.
Nashukuru kwa kumwambia ukweli na huo ndio ushabiki wa kweli ikiwezekana ajitazame na kubadilika.

Najua Darasa anapendwa sana na wengine wanaweza wasikuamini kwakuwa wanampenda sana hata kama uliyo yasema ni ukweli lakini najua umetimiza wajibu wako.
Pengine wimbo wake umekuwa mkubwa sana hadi ameshindwa kuhimili kishindo cha wimbo wake.
Hapa ndio utajua umuhimu wa management....
Darasa kama kweli unakunywa hadi unashindwa kutimiza wajibun wako basi acha ulofa na ubadilike..huu ni wakati wako hakuna nafasi nyingine.
Una uhakika ujumbe wa huyu jamaa umemfikia mhusika?

Unaamini ushauri wako Darasa kaupata?
 
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji52][emoji52][emoji52][emoji20]
mashikolo mageni
Nilijibishiagaaaa!
kila ninavozidi kumtizama simwelewi!
kila ninavocheck alivyo nakosa tu pozi la kuendelea kubisha!
nimebaki kujiumwia tu ndani kwa ndani!
I looove that mtu jamani! mwe!
naomba tu iwe ni stress isiwe ninachokiona!
 
Back
Top Bottom