Clouds Wana Uwezo Wa Kugonga Ngoma Fulani Kila Wakati ( Kama Jingo ) Kwa Kuifosi Mpaka Ikapokewa Na Media Nyingine . Mfano Ni Wimbo Wa Ruby - Mapenzi ( Na Yule )Hiyo ngoma imetoka baada ya fiesta........radio nyingi tu mbona zilikuwa zinapiga? Ngoma ikiwa mzuri hata madj na presenters watalazimika kuipiga tu....binafsi siku ya kwanza kutoka niliisikia jioni east Africa radio na darasa hajawahi kutoa ngoma mbovu ila hii ilikuwa timing ya bifu ya dimpo na mond ikaipaisha zaidii
Jambo unalolizungumzia ndilo nililokua nalizungumzia pia...WCB haters????? Wkt team kiba darasa kawa poozeo lao.... toka atoe mziki wakaanza kumlinginisha na diamond ....wakadai kwamba darasa ni bora kuliko mond.....??
Tayari amekolabo na BenPol itatakiwa Collaboration zaidi na msanii Mwingine??huyu jamaa kama ana akili aombe collabo haraka na msanii wa nje waufanyie remix ili apate market Africa
Siwafahamu mkuu lakini kama umenielewa nimesema management yao hainanguvu maana n wasela wengitutajie meneja mmoja tu kwenye CMG
Watch yourself usije ukajiconfuseHuo Wimbo Uwewekwa Juu Na Clouds Maana Walikuwa Wanaupiga Kila Baada Ya Dk 2 - Kwasababu Walikuwa Wana Biashara Nae,
- Fiesta
- Salama Kondom
- After Skul Bash
Hayo Matamasha Ya Clouds Zimembeba Sana Kiumaarufu Na Kukuza Jina - Mfukoni Sijui Maana Clouds Mnawajua.
UMEELEWA NILICHOKIANDIKA?Tayari amekolabo na BenPol itatakiwa Collaboration zaidi na msanii Mwingine??
acha maneno weka mzikiMi sio mgeni Tanzania najua hulka zetu watanzania 100%
Hapo ni mwanzo baadae utasikia Darassa hamuwezi msanii flani Mara Darassa kashindwa yaani ilimradi blablah tu
Basi Salute Kwake. Nilikuwa Sijui Kama Kaimba Yeye. Yuko JuuDarasa mm napendaga nyimbo ya Nishike Mkono siku zote. Kwanza ilikaaga km ringtone yangu mwaka mzima mpk kila mtu karibu yangu alinijua kwa identity hyo ya ringtone.
Ila wimbo huu wa mziki nliupenda mwanzo na nmeshauchoka
Asante Kwa Kunielewa Kwa Tafsida Niliyotumia. Wako Vila.Za Hawapendi KufikiriHabari yako mkuu..!
Kiukweli hata mimi ninampa pongezi sana Darasa, ameonesha uwezo mkubwa sana. Hilo limejithibitisha wazi kabisa hata mitaani kwetu, kila kona hiyo ngoma inachezwa, hata hapa ninatype nikiwa naisikia kwa earphones.
Mi kwa jinsi nilivyokuelewa hauna maana mbaya!
Ulichokisema hata mimi nimeshawahi kukihofia, KUDUMU KATIKA UBORA WAKO KATIKA MUDA MREFU ( CONSISTENCE )
Hilo ndio jambo ambalo ni changamoto kwa wasanii wengi sana.
Ila tumtakie mafanikio katika kazi yake, hilo ndio jambo la msingi. Mafinikio yake ni jambo la kufurahia na sio vinginevyo.