Darasa, utafanyaje ili uendelee kukaa hapo juu?

Darasa, utafanyaje ili uendelee kukaa hapo juu?

Hiyo ngoma imetoka baada ya fiesta........radio nyingi tu mbona zilikuwa zinapiga? Ngoma ikiwa mzuri hata madj na presenters watalazimika kuipiga tu....binafsi siku ya kwanza kutoka niliisikia jioni east Africa radio na darasa hajawahi kutoa ngoma mbovu ila hii ilikuwa timing ya bifu ya dimpo na mond ikaipaisha zaidii
Clouds Wana Uwezo Wa Kugonga Ngoma Fulani Kila Wakati ( Kama Jingo ) Kwa Kuifosi Mpaka Ikapokewa Na Media Nyingine . Mfano Ni Wimbo Wa Ruby - Mapenzi ( Na Yule )
 
Jamaa alikuwa wa kawaida sana wakati anaanza, ila mwaka huu aliamua, kama utanipenda? Mkasema amebahatisha, aka toa too much, mkasema hawezi toa zaidi ya hiyo, akavunja na [HASHTAG]#muziki[/HASHTAG]. Subirini zaid ya muziki
 
WCB haters????? Wkt team kiba darasa kawa poozeo lao.... toka atoe mziki wakaanza kumlinginisha na diamond ....wakadai kwamba darasa ni bora kuliko mond.....??
Jambo unalolizungumzia ndilo nililokua nalizungumzia pia...
Huo ni MTEGO ambao Darassa inabidi ajihadhali nao..!
 
We sio mdau wa muziki mzuri kama ulisikiliZa ukaona hamna jipya, kwa iyo ulivoona wengine wanausikilza sana ndio ukajilazimisha kuupenda ili kamoyo kasikuume mana mwana katoboa ile mbaya.
My take.
Penda kujua vitu vizuri kabla hujaambiwa ichi kizuri.... Acha maneno weka muziiiiki.
 
Ukisema eti ulikuwa humfahamu darassa ni dhahiri wewe sio mfuatiliaji wa muziki,kwa mantiki hiyo huwezi kujenga hoja yoyote juu yake
 
Huo Wimbo Uwewekwa Juu Na Clouds Maana Walikuwa Wanaupiga Kila Baada Ya Dk 2 - Kwasababu Walikuwa Wana Biashara Nae,

- Fiesta

- Salama Kondom

- After Skul Bash

Hayo Matamasha Ya Clouds Zimembeba Sana Kiumaarufu Na Kukuza Jina - Mfukoni Sijui Maana Clouds Mnawajua.
Watch yourself usije ukajiconfuse
 
Mi sio mgeni Tanzania najua hulka zetu watanzania 100%
Hapo ni mwanzo baadae utasikia Darassa hamuwezi msanii flani Mara Darassa kashindwa yaani ilimradi blablah tu
acha maneno weka mziki
 
Darasa mm napendaga nyimbo ya Nishike Mkono siku zote. Kwanza ilikaaga km ringtone yangu mwaka mzima mpk kila mtu karibu yangu alinijua kwa identity hyo ya ringtone.

Ila wimbo huu wa mziki nliupenda mwanzo na nmeshauchoka
Basi Salute Kwake. Nilikuwa Sijui Kama Kaimba Yeye. Yuko Juu
 
We jamaa una roho mbaya mno na ukizeeka utakuwa mchawi.
Kijana mwenzako kafanya kitu cha mafanikio we roho inakuuma unatamani ashuke asisikike tena sasa sijui we utapata faida gani.

Alafu we sio shabiki wa mziki na hujui chochote kuhusu muziki ila wanaojua muziki wote tunajua kuwa Darassa hii sio Hit song yake ya Kwanza labda kwa kukusaidia kwa mwaka huu hii ni ngoma yake ya Kwanza ku-make headlines baada ya Kama unanipenda na Too much na ajaanza mziki Leo yupo toka mwaka 2012 alipotoa hit song yake ya Kwanza na Ben Pol "Sikati Tamaa".

So Acha kuombea vibaya wenzio wanaofanikiwa mabaya ambayo wewe upati nayo faida yoyote.

Acha roho mbaya weka MUZIKI.
 
Habari yako mkuu..!

Kiukweli hata mimi ninampa pongezi sana Darasa, ameonesha uwezo mkubwa sana. Hilo limejithibitisha wazi kabisa hata mitaani kwetu, kila kona hiyo ngoma inachezwa, hata hapa ninatype nikiwa naisikia kwa earphones.

Mi kwa jinsi nilivyokuelewa hauna maana mbaya!
Ulichokisema hata mimi nimeshawahi kukihofia, KUDUMU KATIKA UBORA WAKO KATIKA MUDA MREFU ( CONSISTENCE )
Hilo ndio jambo ambalo ni changamoto kwa wasanii wengi sana.

Ila tumtakie mafanikio katika kazi yake, hilo ndio jambo la msingi. Mafinikio yake ni jambo la kufurahia na sio vinginevyo.
Asante Kwa Kunielewa Kwa Tafsida Niliyotumia. Wako Vila.Za Hawapendi Kufikiri
 
Back
Top Bottom