Haha..Kaka kukimbizana jana ilikua January sasa mwaka unaisha.
Huo wimbo una vibes hatari sikuupata na kumbe
una muda I'm so yesterday Bro
Hahaha...ukiona hivyo ujue majukumu yamekukamata Bro.Hata hivyo wimbo hauna muda mrefu.
Umenikumbusha mara ya kwanza kuusikia wimbo wa Chafu pozi wa Bill Nas, niliusikia kwa mwanangu akiwa anauimba, tena ananiambia Baba niwekee wimbo wa Chafu Pozi, nikamuuliza unaimbwaje, ndo akaanza kuchana chorus, nikamuuliza ni wa nani akaniambia Bill Nas, ndo kuingia you tube nikauona kwa kumuuliza dada wa kazi make ndo ticha wake kwa hizi nyimbo.
Nilishangaa wimbo una zaidi ya miezi 2 na ni mzuri sijausikia, nikajua nimeshazeeka.
Wamefanya nn mkuu hao maderevaKazi ya mahakama ila kukiwa na fine alipe binafsi nimeutafuta ule wimbo na kumjua vyema Darassa baada ya lile tukio. Japo wamefanya jambo la kipuuzi lina matokeo makubwa chanya kwa muziki wake.
Mwambie darasa kuna wale madereva walio kamatwa anawasaidiaje
Kuna clip inasambaa jamaa wapo kwenye gari wanasikiliza huo wimbo na kucheza, then dereva anapandwa na mzuka anatoka kwenye usukani anaacha gari inatembea peke yake anaenda nyuma kidogo ya seat yake anaanza kuyarudi magoma.Wamefanya nn mkuu hao madereva
Mmmh ya kweli au editingKuna clip inasambaa jamaa wapo kwenye gari wanasikiliza huo wimbo na kucheza, then dereva anapandwa na mzuka anatoka kwenye usukani anaacha gari inatembea peke yake anaenda nyuma kidogo ya seat yake anaanza kuyarudi magoma.
Nifah I miss uMuziki ndio habari ya mjini,kokoro mwisho tandale [emoji108]
Awwwwww wewe ni nani jamani?Nifah I miss u
Mmeamua kubadilisha jezi.Muziki ndio habari ya mjini,kokoro mwisho tandale [emoji108]