Darassa: Nyimbo zangu za ujumbe zilibuma

Darassa: Nyimbo zangu za ujumbe zilibuma

Haha..Kaka kukimbizana jana ilikua January sasa mwaka unaisha.

Huo wimbo una vibes hatari sikuupata na kumbe
una muda I'm so yesterday Bro

Hata hivyo wimbo hauna muda mrefu.

Umenikumbusha mara ya kwanza kuusikia wimbo wa Chafu pozi wa Bill Nas, niliusikia kwa mwanangu akiwa anauimba, tena ananiambia Baba niwekee wimbo wa Chafu Pozi, nikamuuliza unaimbwaje, ndo akaanza kuchana chorus, nikamuuliza ni wa nani akaniambia Bill Nas, ndo kuingia you tube nikauona kwa kumuuliza dada wa kazi make ndo ticha wake kwa hizi nyimbo.

Nilishangaa wimbo una zaidi ya miezi 2 na ni mzuri sijausikia, nikajua nimeshazeeka.
 
Hahaha...ukiona hivyo ujue majukumu yamekukamata Bro.

Na huyo dogo anahitaji ada aende pale International School of Tanganyika.
 
Kazi ya mahakama ila kukiwa na fine alipe binafsi nimeutafuta ule wimbo na kumjua vyema Darassa baada ya lile tukio. Japo wamefanya jambo la kipuuzi lina matokeo makubwa chanya kwa muziki wake.
Wamefanya nn mkuu hao madereva
 
Mwambie darasa kuna wale madereva walio kamatwa anawasaidiaje

Binafsi ule wimbo nilikuwa hata siujui kabisa!baada ya ile crip ya madogo wa Singida ndio nikaanza kuufatilia!

Awashukuru wale vijana wamefanya promotion kubwa Sana richa ya kwamba uhai wao waliuweka rehani!
 
Wamefanya nn mkuu hao madereva
Kuna clip inasambaa jamaa wapo kwenye gari wanasikiliza huo wimbo na kucheza, then dereva anapandwa na mzuka anatoka kwenye usukani anaacha gari inatembea peke yake anaenda nyuma kidogo ya seat yake anaanza kuyarudi magoma.
 
Mmmh ya kweli au editing
 
Back
Top Bottom