Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Haha..Kaka kukimbizana jana ilikua January sasa mwaka unaisha.
Huo wimbo una vibes hatari sikuupata na kumbe
una muda I'm so yesterday Bro
Hata hivyo wimbo hauna muda mrefu.
Umenikumbusha mara ya kwanza kuusikia wimbo wa Chafu pozi wa Bill Nas, niliusikia kwa mwanangu akiwa anauimba, tena ananiambia Baba niwekee wimbo wa Chafu Pozi, nikamuuliza unaimbwaje, ndo akaanza kuchana chorus, nikamuuliza ni wa nani akaniambia Bill Nas, ndo kuingia you tube nikauona kwa kumuuliza dada wa kazi make ndo ticha wake kwa hizi nyimbo.
Nilishangaa wimbo una zaidi ya miezi 2 na ni mzuri sijausikia, nikajua nimeshazeeka.