Tetesi: Darassa (SMG) yasemekana amekuwa mteja

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kuna taarifa zinasambaa kuwa darasa (C,M,G) amekuwa teja ...inasemakana hata studio aonekani ....producer wake Mr T.Touch amesema anasiku kibao aonekani studio...aisee Leo ndo nimeamin bongo Nyoso.

Yaan wabongo mmetumia nguvu ya Umma kuhakikisha mnampoteza darassa kwenye game.
 
Kuna taarifa zinasambaa kuwa darasa (S,M,G) amekuwa teja ...inasemakana hata studio aonekani ....producer wake Mr T.Touch amesema anasiku kibao aonekani studio...aisee Leo ndo nimeamin bongo Nyoso.

Duuuh.....m
 
Hivi kwanini watanzania tunapenda sana lawama....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Yaani hayo madawa atumie yeye, alafu walaumiwe wengine eti wamempoteza....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Kuna taarifa zinasambaa kuwa darasa (S,M,G) amekuwa teja ...inasemakana hata studio aonekani ....producer wake Mr T.Touch amesema anasiku kibao aonekani studio...aisee Leo ndo nimeamin bongo Nyoso.

Yaan wabongo mmetumia nguvu ya Umma kuhakikisha mnampoteza darassa kwenye game.
Ulichokiandika umekisoma? Watu wakisema wewe ni mtoto wa watu watakuwa wanakosea?

Unaijuwa nguvu ya umma kiharage wewe?
 
Huyu msanii, sehemu anayotokea na kukulia pamoja na washaji zake wa kitaa (kiwalani) ni mateja. Hivyo hizo taarifa zinaweza kua na ukweli. Ila sijawahi kimshuhudia. Ila kwa hakika watu waliomzunguka wengi ni mateja
 
Back
Top Bottom