Tetesi: Darassa (SMG) yasemekana amekuwa mteja

Kuna taarifa zinasambaa kuwa darasa (S,M,G) amekuwa teja ...inasemakana hata studio aonekani ....producer wake Mr T.Touch amesema anasiku kibao aonekani studio...aisee Leo ndo nimeamin bongo Nyoso.

Yaan wabongo mmetumia nguvu ya Umma kuhakikisha mnampoteza darassa kwenye game.
Kwahyo hao wabongo ndio waliomnunulia hayo madawa wakamlisha?
 
Mr. T-Touch, Mr T aaah', gonga mdundo kama kengele ya kanisa....
 
Kuna Darasa alafu kuna Bill Nas

Hahaaa haaa we jamaa una akili sana,halafu mi hawa jamaa huwaga nawafananisha sana sijui wana fanana kweli au ni mawenge yangu tu.?
 
Hili wimbi la hawa wasanii kujiingiza kwenye ubwiaji wa sembe, nahisi kuna kikundi cha watu kinawaingiza kwenye huo mtego ilimradi wapate wateja wa hiyo biashara.

Ima kuwawekea bila ya wao kujijua, wakianza arosto ndo wanawaambia tiba mbadala wa hali hiyo ni ipi. Hapo ndo mwanzo wao wa kutumia, sitaki kuamini kila msanii akifanikiwa tu ndo akimbilie huko.

Kuna watu wanatafuta soko kinguvu
kitu kimoja mnawaona hawa wasanii kwenye tv mnaona kama wapo vizuri, maisha yao ni ya ovyo sana, wanapotusua kama hivyo na hit tract basi mnamuona mtu wa Mungu, huyu darasa, babuu wa kitaa, country boy, langa, aba, amber lulu, gigy money na madogo wote wanaotokea studio ya aba ni mateja, labda dogo alieko wasafi sasa sasa mavoko ndio alikiepuka hiki kikombe cha madawa ya mikocheni
 
Daaah bongo maisha ya usanii ni yakipumbavu sana inatia uchungu kichwa kizuri cha kuelimisha na kutia moyo jamii kinaaangukia kula Dona
 
kitu kimoja mnawaona hawa wasanii kwenye tv mnaona kama wapo vizuri, maisha yao ni ya ovyo sana, wanapotusua kama hivyo na hit tract basi mnamuona mtu wa Mungu, huyu darasa, babuu wa kitaa, country boy, langa, aba, amber lulu, gigy money na madogo wote wanaotokea studio ya aba ni mateja, labda dogo alieko wasafi sasa sasa mavoko ndio alikiepuka hiki kikombe cha madawa ya mikocheni

Tukianzia na king'oko
 
Swali, je wote hao ni maamuzi yso au kuna namna fulani
 
Leave our Darasa alone plz....[emoji34][emoji48][emoji83]
 
Kuna taarifa zinasambaa kuwa darasa (S,M,G) amekuwa teja ...inasemakana hata studio aonekani ....producer wake Mr T.Touch amesema anasiku kibao aonekani studio...aisee Leo ndo nimeamin bongo Nyoso.

Yaan wabongo mmetumia nguvu ya Umma kuhakikisha mnampoteza darassa kwenye game.
Wabongo tumempoteza!fafanua tafadhari.
 
c1ec4dff363b7a8121af02c6115a33fc.jpg
 
Na ile nyingine unatafuta kiki kwa pikipiki.........
 
Back
Top Bottom