Tetesi: Darassa (SMG) yasemekana amekuwa mteja

Tetesi: Darassa (SMG) yasemekana amekuwa mteja

Jamani jamani mistari ya darasa hakuna wa kumfikia kama ni.kweli its so saaaaad
 
Kuna taarifa zinasambaa kuwa darasa (S,M,G) amekuwa teja ...inasemakana hata studio aonekani ....producer wake Mr T.Touch amesema anasiku kibao aonekani studio...aisee Leo ndo nimeamin bongo Nyoso.

Yaan wabongo mmetumia nguvu ya Umma kuhakikisha mnampoteza darassa kwenye game.
Anataka kuachia wimbo Mpya [HASHTAG]#Kikikwapikipiki[/HASHTAG].
 
Hili wimbi la hawa wasanii kujiingiza kwenye ubwiaji wa sembe, nahisi kuna kikundi cha watu kinawaingiza kwenye huo mtego ilimradi wapate wateja wa hiyo biashara.

Ima kuwawekea bila ya wao kujijua, wakianza arosto ndo wanawaambia tiba mbadala wa hali hiyo ni ipi. Hapo ndo mwanzo wao wa kutumia, sitaki kuamini kila msanii akifanikiwa tu ndo akimbilie huko.

Kuna watu wanatafuta soko kinguvu
 
Kuna taarifa zinasambaa kuwa darasa (S,M,G) amekuwa teja ...inasemakana hata studio aonekani ....producer wake Mr T.Touch amesema anasiku kibao aonekani studio...aisee Leo ndo nimeamin bongo Nyoso.

Yaan wabongo mmetumia nguvu ya Umma kuhakikisha mnampoteza darassa kwenye game.
Darasa hata ukimuangalia usoni tu unajua mwana ni addicted kabisa thoungh ngoma zake kali sana,wikiendi,Mziki,gheto....
 
Labda amesikia Nyoka wakila Unga wanatema Sumu Kali hivyo nae ameiga ili atoe Mashairi Makali..,
 
Back
Top Bottom