Tetesi: Darassa (SMG) yasemekana amekuwa mteja

Tetesi: Darassa (SMG) yasemekana amekuwa mteja

Yap we unamfahamu vizuri Darasa ilikua suala la Mda
Kupanda kwa muda na kuwika sanaaa afu akapotea hapa ndipo palipomdatisha na kuamua kukata tamaa

Wadau wambeba wakapiga bao then wakamuacha jamaa baada ya kuanza kuchuja .mwamba hana pa kushika ameona ngada ndio pumziko lake
 
kuhusu darasa ..c'na Uhakika nahilo ..lakini ngoja nikwambie jambo ..mtu yeyeto anayetaka kuwa msanii ni ambitious ..yaani usanii unalaana balaa nimekaa nao najua Tabia zao nimtihani mkuu " kama una busara na nimtu wa kumpenda Mungu huwezi maisha yao ..huwa wanapenda kujaribu kila aina ya starehe ..msanii kuliwa kiboga au kusagana .kuvuta unga .hilo nisehemu ya taasisi yao...so usimuamini hata mmoja wao
Kweli mkuu, kwahiyo USANII NI LAANA? Mbona wapo wanaojiheshimu na kujitambua
 
Kupanda kwa muda na kuwika sanaaa afu akapotea hapa ndipo palipomdatisha na kuamua kukata tamaa

Wadau wambeba wakapiga bao then wakamuacha jamaa baada ya kuanza kuchuja .mwamba hana pa kushika ameona ngada ndio pumziko lake
Lakini hapa katikati si kapiga pesa sana inamaana hakufanya cha maana cha kumuingizia pesa, Dah hawa wasanii bwana
 
Kweli mkuu, kwahiyo USANII NI LAANA? Mbona wapo wanaojiheshimu na kujitambua
wachache mnooo kwakuwa wanauwezo wakuzishinda nguvu za ushetani ..lakini haimaanishi kuwa hawafnyi mambo ya ajabu ..wamjua brad pit yule aliyekuwa Mume wa Angelina jolie ..sasa yule alishawahi kufumwa na Mick Tyson akimgegeda mke wa Tyson ktk nyumba ya Tyson..tafuta kitabu cha Tyson utakutana na hiyo habari ..lakini ukimuona brad pit siwamuona kama mtu anaye jiheshimu mno tu..hata hao wanaojiheshimu ambao umekuwa unawaona wana mambo yao ya ajbu ambayo huwa wanayafnya lakini kwakuwa
wamesha.
jitengenezea image nzuri ktk jamii huwa
hawapndi hayo mambo yao yafike kwenye media..refer tukio la kanumba na lulu ..
 
Mleta mada bora ungemtafuta Darasa Mwenyewe na kumuuliza kuliko kuleta habari ambazo hauna uhakika nazo.
 
Kuna taarifa zinasambaa kuwa darasa (C,M,G) amekuwa teja ...inasemakana hata studio aonekani ....producer wake Mr T.Touch amesema anasiku kibao aonekani studio...aisee Leo ndo nimeamin bongo Nyoso.

Yaan wabongo mmetumia nguvu ya Umma kuhakikisha mnampoteza darassa kwenye game.
Kapotezwa au kajipoteza? Kwani kashikiwa sindano ajichome?
Mbona una akili kama kende za mbwa za kushoto?
 
wachache mnooo kwakuwa wanauwezo wakuzishinda nguvu za ushetani ..lakini haimaanishi kuwa hawafnyi mambo ya ajabu ..wamjua brad pit yule aliyekuwa Mume wa Angelina jolie ..sasa yule alishawahi kufumwa na Mick Tyson akimgegeda mke wa Tyson ktk nyumba ya Tyson..tafuta kitabu cha Tyson utakutana na hiyo habari ..lakini ukimuona brad pit siwamuona kama mtu anaye jiheshimu mno tu..hata hao wanaojiheshimu ambao umekuwa unawaona wana mambo yao ya ajbu ambayo huwa wanayafnya lakini kwakuwa
wamesha.
jitengenezea image nzuri ktk jamii huwa
hawapndi hayo mambo yao yafike kwenye media..refer tukio la kanumba na lulu ..
Mbona kuna watu kibao mtaani wanajiheshimu na wanatembea wake za watu. Wengine ni viongozi wa dini pia. Wasanii Ni watu wenye mapungufu kama sisi.
 
huyo wa jina la mwisho ..yaani nina Uhakika kabisaaa ..wla hujakosea ndugu..Mara kibao huwa namkuta maskani ya B.O.B nyuma ya msikiti wa alharamain kinondoni mkwajuni akiwa kwa yule don wao muuza unga ..huwa nawakuta yeye pamoja na petie money
hivi huyo petii huwauzia wenzie tu ye hatumii au?
 
hivi huyo petii huwauzia wenzie tu ye hatumii au?
yule yeye ni punda .hata hao wenzie niliowtaja baadhi yao ni mapunda .but petie ameanza long tym maana mama yake ni bimkubwa mmoja Hivi balaaa mjnja wa mjini kinyamaaaaa ukijichnganya tu na ushamba wako wa kolomije hakawii kukuuzia coco beach kwa ml.5 hahaaaaa
alishawahi kumtapeli rafiki yangu mmoja Hivi Gari (opa ) mnamo miaka ya 2011
 
Kwa hiyo Darasa yuko chini ya management ya Clouds Media Group?
Hapana,,nimetania tu ..ila ni Classic Music Group,,kama umefatilia nyimbo zake za mwanzo,,kwanzo mwa wimbo kuna sauti inasikika classic music
 
Back
Top Bottom